#COVID19 Dkt. Mwigulu: Chanjo ya Corona itakayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile inayotumika Marekani

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kipaumbele namba moja cha Rais Samia ni afya za Watanzania hivyo chanjo ya Corona itayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile iliyoidhinishwa na Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kuwachanja Wamarekani.

Chanzo: ITV habari

Nawasalimu kwa jina la JMT!
 
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba amesema kipaumbele namba moja cha Rais Samia ni afya za Watanzania hivyo chanjo ya Corona itayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile iliyoidhinishwa na Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kuwachanja Wamarekani.

Walete katiba ya marekani pia
 
Neno "sawa" limetumika kuashiria kitu gani? Itakuwa sawa kwa namna gani?

Itakuwa sawa na chanjo ipi? Maana Marekani ina chanjo nyingi.

Tanzania imepewa ama itapewa leseni ya uzalishaji? Ama itanunua dozi zilizokwisha zalishwa?
 
Sawa katika kipaumbele!
 
Back
Top Bottom