#COVID19 Dkt. Mwigulu: Chanjo ya Corona itakayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile inayotumika Marekani

#COVID19 Dkt. Mwigulu: Chanjo ya Corona itakayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile inayotumika Marekani

Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba amesema kipaumbele namba moja cha Rais Samia ni afya za Watanzania hivyo chanjo ya Corona itayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile iliyoidhinishwa na Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kuwachanja Wamarekani.

Chanzo: ITV habari

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Huyu si ndiyo alikandia hizi chanjo enzi za mwendazake. Mungu atupe maisha marefu tuzidi kuona maajabu ya vijana wa mwendazake
 
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba amesema kipaumbele namba moja cha Rais Samia ni afya za Watanzania hivyo chanjo ya Corona itayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile iliyoidhinishwa na Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kuwachanja Wamarekani...
Mbunge Msukuma, njoooooooo,

Nakubali Sasa hoja zako juu ya wasomi wa tz, kwamba chanjo itakayotumika tz ni sawa na Marekani so what, ? Why isiwe Kama ya Kenya au NCHI zingine in E.A,? Mwigulu anataka kusema nini, leo miaka kibao dawa za ARV zinazotumika USA Haziwezi kuwa sawa na dawa za Afrika, hii ni kutokana na uchumi wa taifa husika,

Mwingulu kaa Kimia na mapesa ya BOT, usilete siasa kwenye fani za watu, kwanza sijui umetoa Iyo note kwa vigezo vipi, kaa Kimia kabisa
 
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba amesema kipaumbele namba moja cha Rais Samia ni afya za Watanzania hivyo chanjo ya Corona itayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile iliyoidhinishwa na Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kuwachanja Wamarekani.

Chanzo: ITV habari

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Kwani madelu ndo kawa msemaji wa waziri wa afya? naona anahamisha magoli kutoka kule kwenye 'solidarity fund' baada ya kupewa za uso na wananzengo.....
 
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba amesema kipaumbele namba moja cha Rais Samia ni afya za Watanzania hivyo chanjo ya Corona itayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile iliyoidhinishwa na Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kuwachanja Wamarekani...
Ana uhakika gani kwamba ni aawa na ya Marekani? Hapo siyo jina la vaccine ila kilichopo ndani,ndiyo tatizo. Wanasiasa wanatufunga sana kamba.
 
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba amesema kipaumbele namba moja cha Rais Samia ni afya za Watanzania hivyo chanjo ya Corona itayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile iliyoidhinishwa na Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kuwachanja Wamarekani...
Mkuu sheria ya WHO ni hii:chanjo ikisababisha 5 deaths is recalled for more research,ikisababisha vifo 20 is terminated.Hii chanjo mpaka sasa imesababisha vifo kufuatana na independent analysts 50,000 worldwide.Figures provided by the CDC shows that 9,000 plus people in the US alone have died as of Friday last week,10th July,2021.But the CDC says this figure represents only 1%-10% because many deaths are not reported.Hapa hatuja taja maimed,debilitated as a result of the jab

So in principle,the shot should have been withdrawn a long time ago.Hata hivyo bado tunaambiwa its' benefits outweighs its side effects.Mkuu hivi tunahitaji kuwa na PhD kujua kweli kwamba hapa pana nia ovu?Siwaelewi wanadamu na serikali yetu,what is happening here,ni kama tumelogwa hivi.

There is certainly a demonic spell hovering over our heads.With all the scientific evidence available kwamba hii chanjo ina madhara,tena is under emergency authorization,bado tunaruhusu watu wetu wachanjwe!What is wrong with us?Nini kipo nyuma ya pazia? Yaani tumekubali watu wetu wafanywe wanyama wa majaribio au Guinea Pigs.Inasikitisha sana.
 
Huyu amesema kwa kama mwenye dhamana ya fedha za serikali.Otherwise ilitakiwa ilitakiwa hili lilsemwe na Waziri mwenye dhamana ya afya
Si ajabu mshiko umeshakatwa tayari yeye ni mouth piece.
 
Hii pfizer ndo yenye majanga lukuki bora ile ya mrusi au mchina......acha madelu atumike kuwaingiza wadanganyika kwenye majaribio ya chanjo ya mabeberu.....itafikia kipindi tutapigwa hadi roba tulazimishwe kuchanja ili majaribio ya beberu yaweze kufanikiwa...
 
Kwa nini sasa sisi tusiende kuchanjwa huko huko Marekani
 
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba amesema kipaumbele namba moja cha Rais Samia ni afya za Watanzania hivyo chanjo ya Corona itayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile iliyoidhinishwa na Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kuwachanja Wamarekani.

Chanzo: ITV habari

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Nilikuwa sijui kama ikulu ya marekani ndo waidhinishaji wa chanjo, nikidhani ni wale FDA......mambo yanaenda kasi sana.
 
Kuna aina tatu ya vaccines zilizoidhinishwa na CDC ndani ya USA, nazo ni Pfizer-BioNTech, Moderna na Johnson & Johnson.
 
Back
Top Bottom