TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,763
- 11,873
Blablablaa!Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba amesema kipaumbele namba moja cha Rais Samia ni afya za Watanzania hivyo chanjo ya Corona itayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile iliyoidhinishwa na Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kuwachanja Wamarekani.
Chanzo: ITV habari
Nawasalimu kwa jina la JMT!