johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba amesema kipaumbele namba moja cha Rais Samia ni afya za Watanzania hivyo chanjo ya Corona itayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile iliyoidhinishwa na Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kuwachanja Wamarekani.
Chanzo: ITV habari
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Walete katiba ya marekani piaWaziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba amesema kipaumbele namba moja cha Rais Samia ni afya za Watanzania hivyo chanjo ya Corona itayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile iliyoidhinishwa na Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kuwachanja Wamarekani.
Chanzo: ITV habari
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Ndio!Kwahiyo chanjo ya Marekani ndio safe zaidi kuliko chanjo za nchi zingine?
Usikariri bwashee!Obviously haiwezi kuwa sawa, yaani wewe una per capita GDP below $1,500 unataka kuwa sawa na mwenye per capital above $ 80,000 ??
Ushaona wapi wa kula dagaa akakaa meza moja na mla nyama ya kuku?
Waziri wa fedha!Mwigulu yeye anaongea km nani
Ha ha haMwigulu amekuw@ waziri wa afya tangu lini? Mbona hatulii kwenye wizara yake iliyomshinda?
Hii kampeni imetulia
Sawa katika kipaumbele!Neno "sawa" limetumika kuashiria kitu gani? Itakuwa sawa kwa namna gani?
Itakuwa sawa na chanjo ipi? Maana Marekani ina chanjo nyingi.
Tanzania imepewa ama itapewa leseni ya uzalishaji? Ama itanunua dozi zilizokwisha zalishwa?
Kipaumbele gani ama kipi hicho?Sawa katika kipaumbele!