#COVID19 Dkt. Mwigulu: Chanjo ya Corona itakayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile inayotumika Marekani

Blablablaa!
 
Kidiplomasia kauli yake haijakaa sawa, anyway tunataka katiba mpya.
 
Huyu jamaa aliwahi kuziponda chanjo kwamba zimefanyiwa utafiti kwenye nchi za baridi, natumaini atatuletea utafiti utakaoonyesha ufanisi na usalama wa hizo chanjo zinazotumika Marekani kwa wakazi wa Dar es Salaam na mikoa mingine yenye joto👇
 
Naona anatafuta uhalali wa "solidariti fandi"
 
Haya mataga pori kwenye foleni jipangeni tuwadunge chanjo wa kwanza kabisa.
 
Mbususu Sana!
 
Zanzibar wanatumia chanjo kutoka China, Tanzania watatumia chanjo kutoka USA

Naona sasa hivi kila serikali ifanye mambo yake
 
Huyu Waziri vipi!!? Hivi anafikiri Vaccine America zinaidhinishwa na Ikulu kama huku kwetu.... US wana system, siyo sawa na sisi kusubiria wa juu anasema nini ili wa chini afanye.
 

Kahamishiwa Wizara ya Afya au nimeanza kuchanganyikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…