Dkt. Mwigulu: Chanjo za Corona zimefanyiwa utafiti nchi za baridi zitawafaaje watu wa Dar es Salaam?

Ni kweli alichosema...

Ila akumbuke hata dawa za Malaria na ukimwi zilifanyiwa majaribo kwenye nchi za baridi...

Cha kusema tu ni kwamba hizo chanjo hazitufai basi...
with evidence za lab and supportive research . explain why hazitufahi?
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Nimewaza sana, hivi kwa hii kauli ya kuwa watu walitoroka na na kwenda kuchanjwa na sasa inawaletea matatizo anawazungumzia wakina nani? tumeshuhudia na kusikia kuugua na hata vifo vya watu maarufu na viongozi wakubwa waaliopo madarakani na waliokwisha staafu na kiuhalisia ili kupata chanjo hiyo inamaanisha lazima uwe na fedha na uwezo wa kwenda nchi za nje. Je kwa kauli hii anawazungumia wakina nani hao waliotoroka kwenda nje kuchanjwa na leo hii imewaletea matatizo?
 
ile sio chanjo. tafuta maana ya chanjo uelewe kwanza.
ile ni kama dawa ya kifua tu, inadhibiti dalili tu. lakin si kwamba huwez kupata corona tena
Haha haaa...
Mkuu nilijibu Kwa utani tu maana imepigiwa Sana chapuo kana kwamba ni suruhisho la kudumu la tatizo
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Mimi nimejiuliza hali za maana zilizokidhi matakwa yote ya taasisi za kimataifa na za kitaalam, zinazodolewaje na msomiwa kiwango cha PhD?
Inawezekana ni zile PhD zetu fake top to bottom.
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Chanjo tu? mbona misaada mbali mbali inatoka nchi za baridi kufadhili Tanzania na hawakatai kupokea?
 
mwigulu ni kilaza mkubwa tu.

Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Huyu hajasoma biologia hata darasa la nne.
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Tunaona matatizo ya PHD fake za kuandikiwa. Mwenye akili utamjua tu bila haya ma PHD fake.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Duh sikujua kuwa India ni nchi ya baridi. Ahh mie kila siku napata funzo jipya.
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Idadi ya wanaokufa walau pale BWM dodoma tu?
Basi toeni hata vitendea kazi kwa wahudumu wa afya au navyo ni vya Magharibi?
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!

J&J submitted its Covid vaccine data to the FDA on Feb. 4. The vaccine’s level of protection varied by region, J&J said, with the shot demonstrating 66% effectiveness overall, 72% in the United States, 66% in Latin America and 57% in South Africa, where the B.1.351 variant is rapidly spreading. The company said the vaccine prevented 100% of hospitalizations and deaths.

Mfano hii chanjo mpya South Africa ni sehemu ya baridi. Watanzania msiwasikilize hawa Ma Dr fake kama mwigulu
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Hawa jamaa wamekwenda chuo lakini hawakuelimika! Wanadhani watu hawajui kinachoendelea duniani. Hakuna hata ncho mmoja ambayo imeruhusu hospitali za private kutoa huduma ya chanjo ya coronavirus. Kwa hivi sasa nchi zote za europe na marekani wao wenyewe wako mbioni wanagombani kupata dozi zaidi ili wawape chanjo wananchi wao. Ni mwezi wa jana tu kulizuka ugomvi baina ya EU na UK juu ya nani apate delivery ya chanjo mwanzo na ngapi kiasi ambacho kilihatarisha relation zao za kidiplomasia.

Hawa viongozi wetu, kila anachosema magu na wao ndio wanarudia hivyo hivyo bila hata ya kutumia akili zao. mbunge anasimama kwenye bunge anasema yale yale alosema rais kwenye mkutano siku chache na anajiona kuwa yuko smart. Hivi hapa nasubiri mmoja wao nae asimame na kupinga barakoa za nje ya nchi na kutumia hesabu ile ile ya mau ya kusema siku ni masaa 48!
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Shule walizosoma viongozi wa Tanzania iko siku zitashitakiwa , si kwa utopolo huu wasomi wake !
 
Mwigullu Nchemba na Tundu Lisu wamesoma shule moja.

Mbowe na Job Ndugai wamesoma shule moja

Lema na Gwajima shule moja!
 
Back
Top Bottom