Dkt. Mwigulu: Chanjo za Corona zimefanyiwa utafiti nchi za baridi zitawafaaje watu wa Dar es Salaam?

Dkt. Mwigulu: Chanjo za Corona zimefanyiwa utafiti nchi za baridi zitawafaaje watu wa Dar es Salaam?

Vyawa wa awamu ile walipaswa kujiuzulu. Hawaaminiki wala kusafishika!
Wangepisha safu mpya wao wakaa kimya angalau kuonyesha msimamo wao ulikuwa na nia ya dhati, wanavyobadilika badilika hivi ni aibu
 
sheed.png
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Ama kweli ogopa Mungu na teknolojia.
Leo hii bwana Mwigulu chanjo kabadilisha gia, tena anatuambia kabisa kuwa tutapewa chanjo ile ile waliyopewa Marekani ambapo kuna baridi kuliko bongo. This guy is a scam!
 
Kwenye hil la Corona kila mtu kageuka Daktari, hili ndilo linatuponza Watanzania.
Kahama kwenye mchumi bingwa kawa daktari was binaadam?
Ktk mambo aliyokosea Rais Samia kuyaacha na kuyateua makapi aliyoacha magufuli.
 
"Mwigulu amesema ndio maana watu 'waliotoroka' wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo"

Kwahiyo serikali inawaona wale walioenda kupata chanjo ni 'WALITOROKA'.????

Viongozi wamegeuka kama mashabiki wa mpira wa bongo pale timu yao inapokuwa imefungwa ,kila mtu anageuka kocha..

NCHI NGUMU HII...
Amejuaje,awataje tuwajuwe.
Hapo kamlenga mbowe,mnafiki mkubwa
 
Mwigulu leo amesema chanjo zitakazotumika tz ni zile zinazotumiwa marekani hivi matekani baridi iliisha
 
..kwani hapa Tanzania kuna chanjo kwa ajili ya watu wa Mufindi ambako kuna baridi, na chanjo kwa ajili ya watu wa Tanga ambako kuna joto?
 
Back
Top Bottom