Whiteman confusing
JF-Expert Member
- Sep 12, 2020
- 328
- 279
with evidence za lab and supportive research . explain why hazitufahi?Ni kweli alichosema...
Ila akumbuke hata dawa za Malaria na ukimwi zilifanyiwa majaribo kwenye nchi za baridi...
Cha kusema tu ni kwamba hizo chanjo hazitufai basi...
Nimewaza sana, hivi kwa hii kauli ya kuwa watu walitoroka na na kwenda kuchanjwa na sasa inawaletea matatizo anawazungumzia wakina nani? tumeshuhudia na kusikia kuugua na hata vifo vya watu maarufu na viongozi wakubwa waaliopo madarakani na waliokwisha staafu na kiuhalisia ili kupata chanjo hiyo inamaanisha lazima uwe na fedha na uwezo wa kwenda nchi za nje. Je kwa kauli hii anawazungumia wakina nani hao waliotoroka kwenda nje kuchanjwa na leo hii imewaletea matatizo?Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Haha haaa...ile sio chanjo. tafuta maana ya chanjo uelewe kwanza.
ile ni kama dawa ya kifua tu, inadhibiti dalili tu. lakin si kwamba huwez kupata corona tena
Sawasawa, sehemu zote hizo nimefika na nikapambana na hiyo hali.Hata baadhi ya maeneo ya Mbeya, Njombe na Makete mfano kwenye milima ya Kitulo baridi huwa inafika kwenye freezing point.
Mimi nimejiuliza hali za maana zilizokidhi matakwa yote ya taasisi za kimataifa na za kitaalam, zinazodolewaje na msomiwa kiwango cha PhD?Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Chanjo tu? mbona misaada mbali mbali inatoka nchi za baridi kufadhili Tanzania na hawakatai kupokea?Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Huyu hajasoma biologia hata darasa la nne.Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Tunaona matatizo ya PHD fake za kuandikiwa. Mwenye akili utamjua tu bila haya ma PHD fake.Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
We umejuaje ?? Leta statistics hapa Na research yako tuone.sasa mbona sehemu za baridi ndio wanaongoza kufa kwa Corona kuliko sehemu za joto?
Duh sikujua kuwa India ni nchi ya baridi. Ahh mie kila siku napata funzo jipya.Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Idadi ya wanaokufa walau pale BWM dodoma tu?Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Hawa jamaa wamekwenda chuo lakini hawakuelimika! Wanadhani watu hawajui kinachoendelea duniani. Hakuna hata ncho mmoja ambayo imeruhusu hospitali za private kutoa huduma ya chanjo ya coronavirus. Kwa hivi sasa nchi zote za europe na marekani wao wenyewe wako mbioni wanagombani kupata dozi zaidi ili wawape chanjo wananchi wao. Ni mwezi wa jana tu kulizuka ugomvi baina ya EU na UK juu ya nani apate delivery ya chanjo mwanzo na ngapi kiasi ambacho kilihatarisha relation zao za kidiplomasia.Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Shule walizosoma viongozi wa Tanzania iko siku zitashitakiwa , si kwa utopolo huu wasomi wake !Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Mwigullu Nchemba na Tundu Lisu wamesoma shule moja.Shule walizosoma viongozi wa Tanzania iko siku zitashitakiwa , si kwa utopolo huu wasomi wake !
Ni aibu sana kwa Lissu kusoma shule moja na MwiguluMwigullu Nchemba na Tundu Lisu wamesoma shule moja.
Mbowe na Job Ndugai wamesoma shule moja
Lema na Gwajima shule moja!
Hahahaaaa....... hahahaaaa....... kazi kweli kweli!Ndio mkaamua kutuletea za marekani au sio ?