Anataka kutuletea janja janja hadi kwenye afya zetu, atuletee hizo tafiti kwamba chanjo inayotumika Marekani inafaa kutumika Tanzania !Hahahaaaa....... hahahaaaa....... kazi kweli kweli!
Ndio mkaamua kutuletea za marekani au sio ?
Wangepisha safu mpya wao wakaa kimya angalau kuonyesha msimamo wao ulikuwa na nia ya dhati, wanavyobadilika badilika hivi ni aibuVyawa wa awamu ile walipaswa kujiuzulu. Hawaaminiki wala kusafishika!
Ama kweli ogopa Mungu na teknolojia.Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Kahama kwenye mchumi bingwa kawa daktari was binaadam?Kwenye hil la Corona kila mtu kageuka Daktari, hili ndilo linatuponza Watanzania.
Amempenda zaidi,ndy maana hamko naeSafi Sana
Serikali makini haijawahi tokea
Magufuli Ni chaguo la MUNGU
Clouds walikuwemo kwenye payroll ya magufuli hao uliowataja walikuwemoPJ na Baby Kabae!
Amejuaje,awataje tuwajuwe."Mwigulu amesema ndio maana watu 'waliotoroka' wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo"
Kwahiyo serikali inawaona wale walioenda kupata chanjo ni 'WALITOROKA'.????
Viongozi wamegeuka kama mashabiki wa mpira wa bongo pale timu yao inapokuwa imefungwa ,kila mtu anageuka kocha..
NCHI NGUMU HII...
Mwigulu hajitambuiKahama kwenye mchumi bingwa kawa daktari was binaadam?
Ktk mambo aliyokosea Rais Samia kuyaacha na kuyateua makapi aliyoacha magufuli.