Dkt. Mwigulu: David Kafulila ni kiongozi kijana, msomi na ana-exposure

YAY

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
879
Reaction score
873
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema agenda ya sekta binafsi siyo tu agenda ya sekta binafsi pekee bali ni agenda muhimu na mtambuka ya taifa.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa mwaka wa Tanzania National Chember of Commerce,, Waziri Mkuu alieleza kuwa mchango wa sekta binafsi katika Dira2050 ya taifa unafikia asilimia sabini (70) jambo linalothibitisha kuwa sekta binafsi ndiyo injini ya maendeleo ya taifa letu.

"Agenda ya sekta binafsi Sasa siyo tu kuwa ni agenda ya sekta binafsi pekee bali ni agenda ya nchi yetu. Kwa sababu Dira2050 ya taifa ina mchango wa asilimia sabini wa sekta binafsi. Kwa hiyo agenda ya sekta binafsi ni agenda ya taifa. Na kila Mtanzania aliye katika sekta binafsi na aliye nje ya sekta binafsi wote lazima tuelewe hivyo," alisema.

Aidha, Waziri Mkuu alisisitiza imani kubwa ya Mheshimiwa Rais kwa vijana wa Tanzania katika kila eneo. Alitolea mfano wa PPP Center, akimtaja ndugu David Zacharia Kafulila kama kijana mwenye upeo mpana na exposure ya kimataifa aliyoaminiwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

"Kafulila ni Kijana, tena mwenye exposure kwa Kiswahili sanifu , tena "asiye mshamba". Msomi, tena siyo msomi tu wa shuleni, bali msomi wa current affairs. Kafulila ni Moja ya vijana wanaoelewa na waliofanikiwa kung'amua waliofanikiwa huko duniani wamefanikiwaje kwa kujifunza kutoka nchi kama Malaysia, Singapore na nchi nyingine," alisema.

Waziri Mkuu aliongeza kuwa Kafulila ni mfano wa vijana wabunifu na wenye uwezo wa kufanikisha miradi mikubwa.

Waziri mkuu alisisitiza pia kuwa vijana wa Tanzania wako practical na wanashiriki moja kwa moja katika maeneo ya kazi na miradi ya kitaifa.

"Hata ninyi wenyewe wengi mko practical, wengi wenu mko site.

Ya Kafulila nimeyataja tu kama eneo moja la mfano, Lakini Ukienda kwenye mashirika ya umma pia tunaye mwingine kule anaitwa Nehemia Mchechu," alihitimisha.

===

View: https://www.instagram.com/reel/DaORIojgrFf/?igsh=MXNpODB5bW1qNTRvMQ==

Kama ameona Tumbili yupo vizuri kiasi hcho, basi ampishe awe PM
 
Kafullila tutaacha kuchangia nyuzi zako kwa kuwa una Ids 6 na unajibishana mwenyewe. Wewe fanya kazi uliyopewa tu cc Matrix19
 
Hongera Kafulila
 
Waziri Mkuu leo kashusha nondo
Ni Kawaida yake Mheshimiwa Waziri Mkuu wetu Kushusha NONDO zilizoenda shule . Hii ni kutokana na uwezo wake mkubwa kiakili alionao .

Ikumbukwe ama nawakumbusheni ya kuwa Mheshimiwa Waziri Mkuu wetu Daktari Mwigulu Lameck Nchemba ama waweza kumwita Mr Clean kama ambavyo watanzania wengi hupenda kumwita hivyo kutokana na uzalendo wake na uadilifu alionao alipata First-class Katika Shahada yake ya Kwanza ya uchumi kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam Maarufu kama UDSM ama waweza kuita Mlimani.

Ni ukweli ulio wazi pia kuwa Mheshimiwa David KAFULILA Ni Hazina kwa Taifa letu . Ni Kiongozi Mbunifu sana kama Alivyoeleza Mr Clean.
 
Nilishamshtukia hata mimi. Nyuzi nyingi hapa jukwaani kuhusu Kafulila huwa zina maudhui ya kishabiki sana. Hakuna mtu serious anazitilia maanani.
Jisemee wewe na ujinga wako. Lakini ukweli ni kuwa Watanzania tunajivunia Viongozi Aina ya Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr Clean pamoja na Mheshimiwa David KAFULILA. Tunahitaji kuwa nao wengi sana katika Taifa letu.

Naamini Watanzania wanaona Uchapakazi wa Waziri Mkuu wetu Mr CLEAN Kiongozi wa watu na kipenzi cha watanzania na pia wanaona kipaji cha uongozi kilichopo ndani ya Mheshimiwa KAFULILA
 
Hajatoa boko na zile taarifa zake utafikri mtu anawasimulia watoto hadithi
Eti kuna mtu amelipwa Bilion 5, cha ajabu huyo mtu hajawahi kuwekwa public.
Akili na ukubwa wa akili alionao Mheshimiwa Waziri Mkuu wetu hamuwezi kuufikia hata robo wewe na ukoo wako wote wa upande wa Mama yako na Baba yako
 
Back
Top Bottom