Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Wivu tu unakusumbuaKafullila tutaacha kuchangia nyuzi zako kwa kuwa una Ids 6 na unajibishana mwenyewe. Wewe fanya kazi uliyopewa tu cc matrix

Kazi zake ndio zinampambaChawa Kafulila mitu ya PPPP mnajitahidi sana kumpamba.
Na wewe fanya kazi ili usifiwekusifiwa na mtu kama huyo, mara nyingi huwa ni kinyume chake …
Kabisa aiseeWivu tu unakusumbua
Kazi njemaWaziri Mkuu leo kashusha nondo
Niwe na wivu dhidi ya tumbili anayetumia fake IDs 6 kujisifia humu ili uweje?Wivu tu unakusumbua
Si kweli. Ni kihiyo kama wewe Mwigulu na phd yako feki. Kafulila ana elimu gani zaidi ya cheti cha uandishi wa habari?Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema agenda ya sekta binafsi siyo tu agenda ya sekta binafsi pekee bali ni agenda muhimu na mtambuka ya taifa.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa mwaka wa Tanzania National Chember of Commerce,, Waziri Mkuu alieleza kuwa mchango wa sekta binafsi katika Dira2050 ya taifa unafikia asilimia sabini (70) jambo linalothibitisha kuwa sekta binafsi ndiyo injini ya maendeleo ya taifa letu.
"Agenda ya sekta binafsi Sasa siyo tu kuwa ni agenda ya sekta binafsi pekee bali ni agenda ya nchi yetu. Kwa sababu Dira2050 ya taifa ina mchango wa asilimia sabini wa sekta binafsi. Kwa hiyo agenda ya sekta binafsi ni agenda ya taifa. Na kila Mtanzania aliye katika sekta binafsi na aliye nje ya sekta binafsi wote lazima tuelewe hivyo," alisema.
Aidha, Waziri Mkuu alisisitiza imani kubwa ya Mheshimiwa Rais kwa vijana wa Tanzania katika kila eneo. Alitolea mfano wa PPP Center, akimtaja ndugu David Zacharia Kafulila kama kijana mwenye upeo mpana na exposure ya kimataifa aliyoaminiwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
"Kafulila ni Kijana, tena mwenye exposure kwa Kiswahili sanifu , tena "asiye mshamba". Msomi, tena siyo msomi tu wa shuleni, bali msomi wa current affairs. Kafulila ni Moja ya vijana wanaoelewa na waliofanikiwa kung'amua waliofanikiwa huko duniani wamefanikiwaje kwa kujifunza kutoka nchi kama Malaysia, Singapore na nchi nyingine," alisema.
Waziri Mkuu aliongeza kuwa Kafulila ni mfano wa vijana wabunifu na wenye uwezo wa kufanikisha miradi mikubwa.
Waziri mkuu alisisitiza pia kuwa vijana wa Tanzania wako practical na wanashiriki moja kwa moja katika maeneo ya kazi na miradi ya kitaifa.
"Hata ninyi wenyewe wengi mko practical, wengi wenu mko site.
Ya Kafulila nimeyataja tu kama eneo moja la mfano, Lakini Ukienda kwenye mashirika ya umma pia tunaye mwingine kule anaitwa Nehemia Mchechu," alihitimisha.
DuuuhNiwe na wivu dhidi ya tumbili anayetumia fake IDs 6 lujisifia humu ili uweje?
Mjinga babaaako mbusii wewe.Jisemee wewe na ujinga wako. Lakini ukweli ni kuwa Watanzania tunajivunia Viongozi Aina ya Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr Clean pamoja na Mheshimiwa David KAFULILA. Tunahitaji kuwa nao wengi sana katika Taifa letu.
Naamini Watanzania wanaona Uchapakazi wa Waziri Mkuu wetu Mr CLEAN Kiongozi wa watu na kipenzi cha watanzania na pia wanaona kipaji cha uongozi kilichopo ndani ya Mheshimiwa KAFULILA
duuuh matusi ya nini?Mjinga babaaako mbusii wewe.
Uwe na adabu Bwana MdogoMjinga babaaako mbusii wewe.
Acha ujinga wako hapa wewe. Usishindane na Mwenye akili kukuzidiNiwe na wivu dhidi ya tumbili anayetumia fake IDs 6 kujisifia humu ili uweje?
Mwenye akili asingesoma Bachelor ya evening studies UDSM.Acha ujinga wako hapa wewe. Usishindane na Mwenye akili kukuzidi
Ni kweli waziri mkuuWaziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema agenda ya sekta binafsi siyo tu agenda ya sekta binafsi pekee bali ni agenda muhimu na mtambuka ya taifa.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa mwaka wa Tanzania National Chember of Commerce,, Waziri Mkuu alieleza kuwa mchango wa sekta binafsi katika Dira2050 ya taifa unafikia asilimia sabini (70) jambo linalothibitisha kuwa sekta binafsi ndiyo injini ya maendeleo ya taifa letu.
"Agenda ya sekta binafsi Sasa siyo tu kuwa ni agenda ya sekta binafsi pekee bali ni agenda ya nchi yetu. Kwa sababu Dira2050 ya taifa ina mchango wa asilimia sabini wa sekta binafsi. Kwa hiyo agenda ya sekta binafsi ni agenda ya taifa. Na kila Mtanzania aliye katika sekta binafsi na aliye nje ya sekta binafsi wote lazima tuelewe hivyo," alisema.
Aidha, Waziri Mkuu alisisitiza imani kubwa ya Mheshimiwa Rais kwa vijana wa Tanzania katika kila eneo. Alitolea mfano wa PPP Center, akimtaja ndugu David Zacharia Kafulila kama kijana mwenye upeo mpana na exposure ya kimataifa aliyoaminiwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
"Kafulila ni Kijana, tena mwenye exposure kwa Kiswahili sanifu , tena "asiye mshamba". Msomi, tena siyo msomi tu wa shuleni, bali msomi wa current affairs. Kafulila ni Moja ya vijana wanaoelewa na waliofanikiwa kung'amua waliofanikiwa huko duniani wamefanikiwaje kwa kujifunza kutoka nchi kama Malaysia, Singapore na nchi nyingine," alisema.
Waziri Mkuu aliongeza kuwa Kafulila ni mfano wa vijana wabunifu na wenye uwezo wa kufanikisha miradi mikubwa.
Waziri mkuu alisisitiza pia kuwa vijana wa Tanzania wako practical na wanashiriki moja kwa moja katika maeneo ya kazi na miradi ya kitaifa.
"Hata ninyi wenyewe wengi mko practical, wengi wenu mko site.
Ya Kafulila nimeyataja tu kama eneo moja la mfano, Lakini Ukienda kwenye mashirika ya umma pia tunaye mwingine kule anaitwa Nehemia Mchechu," alihitimisha.
Kafuli ni mjaanjaNi kweli waziri mkuu
Safi sana PNWaziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema agenda ya sekta binafsi siyo tu agenda ya sekta binafsi pekee bali ni agenda muhimu na mtambuka ya taifa.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa mwaka wa Tanzania National Chember of Commerce,, Waziri Mkuu alieleza kuwa mchango wa sekta binafsi katika Dira2050 ya taifa unafikia asilimia sabini (70) jambo linalothibitisha kuwa sekta binafsi ndiyo injini ya maendeleo ya taifa letu.
"Agenda ya sekta binafsi Sasa siyo tu kuwa ni agenda ya sekta binafsi pekee bali ni agenda ya nchi yetu. Kwa sababu Dira2050 ya taifa ina mchango wa asilimia sabini wa sekta binafsi. Kwa hiyo agenda ya sekta binafsi ni agenda ya taifa. Na kila Mtanzania aliye katika sekta binafsi na aliye nje ya sekta binafsi wote lazima tuelewe hivyo," alisema.
Aidha, Waziri Mkuu alisisitiza imani kubwa ya Mheshimiwa Rais kwa vijana wa Tanzania katika kila eneo. Alitolea mfano wa PPP Center, akimtaja ndugu David Zacharia Kafulila kama kijana mwenye upeo mpana na exposure ya kimataifa aliyoaminiwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
"Kafulila ni Kijana, tena mwenye exposure kwa Kiswahili sanifu , tena "asiye mshamba". Msomi, tena siyo msomi tu wa shuleni, bali msomi wa current affairs. Kafulila ni Moja ya vijana wanaoelewa na waliofanikiwa kung'amua waliofanikiwa huko duniani wamefanikiwaje kwa kujifunza kutoka nchi kama Malaysia, Singapore na nchi nyingine," alisema.
Waziri Mkuu aliongeza kuwa Kafulila ni mfano wa vijana wabunifu na wenye uwezo wa kufanikisha miradi mikubwa.
Waziri mkuu alisisitiza pia kuwa vijana wa Tanzania wako practical na wanashiriki moja kwa moja katika maeneo ya kazi na miradi ya kitaifa.
"Hata ninyi wenyewe wengi mko practical, wengi wenu mko site.
Ya Kafulila nimeyataja tu kama eneo moja la mfano, Lakini Ukienda kwenye mashirika ya umma pia tunaye mwingine kule anaitwa Nehemia Mchechu," alihitimisha.
Sana aiseeWaziri Mkuu leo kashusha nondo
SawaWaziri Mkuu leo kashusha nondo
Waziri mkuu naona ameona vemaWaziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema agenda ya sekta binafsi siyo tu agenda ya sekta binafsi pekee bali ni agenda muhimu na mtambuka ya taifa.