Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
FISADI PAPA linapohubiri MAADILI.WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha utawala wa sheria na taasisi za umma.
"Hakuna maendeleo ya kudumu bila kujenga watu wenye maadili, uzalendo na uwajibikaji. Kama Taifa tuna kila sababu ya kuendelea kuwekeza katika kujenga tabia ya wananchi pamoja na kuimarisha taasisi zetu," amesema.
Waziri Mkuu amesema hayo leo (Jumatatu, Julai 20, 2026) alipokutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Katika mazungumzo hayo, Mzee Butiku alimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake na juhudi anazoendelea kuzifanya katika kuiongoza nchi. Pia, alimpongeza Waziri Mkuu kwa mchango wake katika kumsaidia Mheshimiwa Rais kusimamia Serikali na kuhakikisha utekelezaji wa majukumu ya Serikali unaendelea kwa ufanisi. Amesema amekuwa akifuatilia kwa ukaribu ziara za Waziri Mkuu mikoani na kujionea namna zilivyochangia kutatua changamoto za wananchi na kuimarisha utoaji wa huduma.
Kuliko kuweka imani kwa huyu muhuni bora nimuamini ng'ombeWAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha utawala wa sheria na taasisi za umma.
"Hakuna maendeleo ya kudumu bila kujenga watu wenye maadili, uzalendo na uwajibikaji. Kama Taifa tuna kila sababu ya kuendelea kuwekeza katika kujenga tabia ya wananchi pamoja na kuimarisha taasisi zetu," amesema.
Waziri Mkuu amesema hayo leo (Jumatatu, Julai 20, 2026) alipokutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Soma Pia: Dkt Mwigulu Nchemba: Ukitaka Siasa Anzisha Chama Chako Usipeleke Siasa Makanisani Kuvuruga Kanisa na kuleta Fujo
Katika mazungumzo hayo, Mzee Butiku alimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake na juhudi anazoendelea kuzifanya katika kuiongoza nchi. Pia, alimpongeza Waziri Mkuu kwa mchango wake katika kumsaidia Mheshimiwa Rais kusimamia Serikali na kuhakikisha utekelezaji wa majukumu ya Serikali unaendelea kwa ufanisi. Amesema amekuwa akifuatilia kwa ukaribu ziara za Waziri Mkuu mikoani na kujionea namna zilivyochangia kutatua changamoto za wananchi na kuimarisha utoaji wa huduma.
Wqwajibishwe kwanza waliouwa watoto wetu mwaka 2025, OctoberWAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha utawala wa sheria na taasisi za umma.
"Hakuna maendeleo ya kudumu bila kujenga watu wenye maadili, uzalendo na uwajibikaji. Kama Taifa tuna kila sababu ya kuendelea kuwekeza katika kujenga tabia ya wananchi pamoja na kuimarisha taasisi zetu," amesema.
Waziri Mkuu amesema hayo leo (Jumatatu, Julai 20, 2026) alipokutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Soma Pia: Dkt Mwigulu Nchemba: Ukitaka Siasa Anzisha Chama Chako Usipeleke Siasa Makanisani Kuvuruga Kanisa na kuleta Fujo
Katika mazungumzo hayo, Mzee Butiku alimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake na juhudi anazoendelea kuzifanya katika kuiongoza nchi. Pia, alimpongeza Waziri Mkuu kwa mchango wake katika kumsaidia Mheshimiwa Rais kusimamia Serikali na kuhakikisha utekelezaji wa majukumu ya Serikali unaendelea kwa ufanisi. Amesema amekuwa akifuatilia kwa ukaribu ziara za Waziri Mkuu mikoani na kujionea namna zilivyochangia kutatua changamoto za wananchi na kuimarisha utoaji wa huduma.
Hivi Dodoma napo kuna Oyster bay wamechimba bahari nako au hawaelewi nini maana ya bay wanaita majina kisa jina liko Dar. Bay ni eneo la nchi kavu liloingia kwenye maji (Baharini/Ziwani)WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha utawala wa sheria na taasisi za umma.
"Hakuna maendeleo ya kudumu bila kujenga watu wenye maadili, uzalendo na uwajibikaji. Kama Taifa tuna kila sababu ya kuendelea kuwekeza katika kujenga tabia ya wananchi pamoja na kuimarisha taasisi zetu," amesema.
Waziri Mkuu amesema hayo leo (Jumatatu, Julai 20, 2026) alipokutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Soma Pia: Dkt Mwigulu Nchemba: Ukitaka Siasa Anzisha Chama Chako Usipeleke Siasa Makanisani Kuvuruga Kanisa na kuleta Fujo
Katika mazungumzo hayo, Mzee Butiku alimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake na juhudi anazoendelea kuzifanya katika kuiongoza nchi. Pia, alimpongeza Waziri Mkuu kwa mchango wake katika kumsaidia Mheshimiwa Rais kusimamia Serikali na kuhakikisha utekelezaji wa majukumu ya Serikali unaendelea kwa ufanisi. Amesema amekuwa akifuatilia kwa ukaribu ziara za Waziri Mkuu mikoani na kujionea namna zilivyochangia kutatua changamoto za wananchi na kuimarisha utoaji wa huduma.
Tanzania Uzalendo,Maadili,heshima uwajibikaji na uchapakazi vyote vimekufa,zaidi kwa wale waongaza njia a.k.a viongozi,nafikiri ingekuwa bora kwa waliobobea kwenye imani na kwa Haki,pasi kona kona wala ushawishi kutoka kwa siasa na wanasiasa ama mashinikizo ya policccm.WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha utawala wa sheria na taasisi za umma.
"Hakuna maendeleo ya kudumu bila kujenga watu wenye maadili, uzalendo na uwajibikaji. Kama Taifa tuna kila sababu ya kuendelea kuwekeza katika kujenga tabia ya wananchi pamoja na kuimarisha taasisi zetu," amesema.
Waziri Mkuu amesema hayo leo (Jumatatu, Julai 20, 2026) alipokutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Soma Pia: Dkt Mwigulu Nchemba: Ukitaka Siasa Anzisha Chama Chako Usipeleke Siasa Makanisani Kuvuruga Kanisa na kuleta Fujo
Katika mazungumzo hayo, Mzee Butiku alimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake na juhudi anazoendelea kuzifanya katika kuiongoza nchi. Pia, alimpongeza Waziri Mkuu kwa mchango wake katika kumsaidia Mheshimiwa Rais kusimamia Serikali na kuhakikisha utekelezaji wa majukumu ya Serikali unaendelea kwa ufanisi. Amesema amekuwa akifuatilia kwa ukaribu ziara za Waziri Mkuu mikoani na kujionea namna zilivyochangia kutatua changamoto za wananchi na kuimarisha utoaji wa huduma.
huyu alishakengeukaWAZIRI MKUU AKUTANA NA MZEE JOSEPH BUTIKU
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha utawala wa sheria na taasisi za umma.
"Hakuna maendeleo ya kudumu bila kujenga watu wenye maadili, uzalendo na uwajibikaji. Kama Taifa tuna kila sababu ya kuendelea kuwekeza katika kujenga tabia ya wananchi pamoja na kuimarisha taasisi zetu," amesema.
Waziri Mkuu amesema hayo leo (Jumatatu, Julai 20, 2026) alipokutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Katika mazungumzo hayo, Mzee Butiku alimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake na juhudi anazoendelea kuzifanya katika kuiongoza nchi. Pia, alimpongeza Waziri Mkuu kwa mchango wake katika kumsaidia Mheshimiwa Rais kusimamia Serikali na kuhakikisha utekelezaji wa majukumu ya Serikali unaendelea kwa ufanisi. Amesema amekuwa akifuatilia kwa ukaribu ziara za Waziri Mkuu mikoani na kujionea namna zilivyochangia kutatua changamoto za wananchi na kuimarisha utoaji wa huduma.
Aidha, aliishukuru Serikali kwa kuendelea kushirikiana na Taasisi ya Mwalimu Nyerere na kuipatia mazingira mazuri ya kutekeleza majukumu yake, ikiwemo kupata eneo la ujenzi wa Mwalimu Nyerere World Leadership Institute, pamoja na kuitambua Taasisi hiyo kama mshirika wa maendeleo ya Taifa.
Mzee Butiku pia alisisitiza umuhimu wa kuendelea kujenga jamii inayoheshimiana, inayovumiliana na inayozingatia maadili, uzalendo, utawala wa sheria, haki za watu na misingi ya demokrasia. Alisema kumekuwepo na mwenendo wa baadhi ya watu kuwavunjia heshima viongozi, wazee, viongozi wastaafu na viongozi wa dini, jambo ambalo halijengi utaifa wala haliendani na misingi ya Taifa.
Aliongeza kuwa ni muhimu Watanzania wakaendelea kukosoana kwa hoja na kwa kuzingatia sheria, huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kwa lengo la kulinda amani, usalama, umoja na mshikamano wa Taifa. Amesema Taasisi ya Mwalimu Nyerere itaendelea kutoa elimu ya amani, maadili na uzalendo kwa manufaa ya Taifa.
Vilevile, Mzee Butiku ameipongeza Serikali kwa hatua inazoendelea kuchukua katika kuimarisha amani, utulivu, haki za watu, Serikali za Mitaa na misingi ya demokrasia. Amesema hatua hizo zimeendelea kuimarisha mshikamano wa Taifa na kurejesha hali ya utulivu nchini. Pia amepongeza hatua ya kuendelea kutoa kipaumbele suala la Katiba Mpya kupitia Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2025–2030.
Kwa upande wake, Waziri Mkuu amesema Serikali itaendelea kuimarisha utawala wa sheria, uwajibikaji, utoaji wa haki na utendaji wa taasisi za umma ili kulinda haki za wananchi na kuimarisha amani na utulivu nchini.
Amesema Serikali itaendelea kuimarisha Serikali za Mitaa na taasisi nyingine za umma ili ziweze kuwahudumia wananchi kwa ufanisi zaidi, sambamba na kuendelea kujenga Taifa linalozingatia maadili, uzalendo, mshikamano na demokrasia.
Aidha, Waziri Mkuu amesisitiza kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na Taasisi ya Mwalimu Nyerere katika kukuza maadili, uzalendo, umoja wa kitaifa na maendeleo, ikiwemo kuunga mkono ujenzi wa Mwalimu Nyerere World Leadership Institute (Centre of Excellence).
In other words, mazafaka anasema sasa hivi Watanzania tuvumilie tu kukosa maendeleo ya kudumu kwa sababu nchi bado haiko kwenye mikono ya watu wenye maadili, uzalendo na uwajibikaji.Hakuna maendeleo ya kudumu bila kujenga watu wenye maadili, uzalendo na uwajibikaji. Kama Taifa tuna kila sababu ya kuendelea kuwekeza katika kujenga tabia ya wananchi pamoja na kuimarisha taasisi zetu," amesema.
Kaka hujui kama makulu kuna ziwa?Waulize wenyeji wa hiyo mitaa kama unaenda Ntyuka.Zamani lilikuwa pori sema sahivi naona watu wamejenga itakuwa ziwa nalo halipo tena labdaHivi Dodoma napo kuna Oyster bay wamechimba bahari nako au hawaelewi nini maana ya bay wanaita majina kisa jina liko Dar. Bay ni eneo la nchi kavu liloingia kwenye maji (Baharini/Ziwani)
Ziwa au bwawa ndugu lilikuwa linaitwa ziwa gani lisiloonekana kwenye ramani? Swamp area unaita ziwa hebu tupumzisheKaka hujui kama makulu kuna ziwa?Waulize wenyeji wa hiyo mitaa kama unaenda Ntyuka.Zamani lilikuwa pori sema sahivi naona watu wamejenga itakuwa ziwa nalo halipo tena labda
Huu uzalendo anauongelea ndio wa kuvaa mibendera na scarf huku wakitafuna keki ya nchi ubinafsi wa kujilimbikizia mali huku wengi wakitopea kwenye lindi la umasikiniWAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha utawala wa sheria na taasisi za umma.
"Hakuna maendeleo ya kudumu bila kujenga watu wenye maadili, uzalendo na uwajibikaji. Kama Taifa tuna kila sababu ya kuendelea kuwekeza katika kujenga tabia ya wananchi pamoja na kuimarisha taasisi zetu," amesema.
Waziri Mkuu amesema hayo leo (Jumatatu, Julai 20, 2026) alipokutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Soma Pia: Dkt Mwigulu Nchemba: Ukitaka Siasa Anzisha Chama Chako Usipeleke Siasa Makanisani Kuvuruga Kanisa na kuleta Fujo
Katika mazungumzo hayo, Mzee Butiku alimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake na juhudi anazoendelea kuzifanya katika kuiongoza nchi. Pia, alimpongeza Waziri Mkuu kwa mchango wake katika kumsaidia Mheshimiwa Rais kusimamia Serikali na kuhakikisha utekelezaji wa majukumu ya Serikali unaendelea kwa ufanisi. Amesema amekuwa akifuatilia kwa ukaribu ziara za Waziri Mkuu mikoani na kujionea namna zilivyochangia kutatua changamoto za wananchi na kuimarisha utoaji wa huduma.
Ukiona Kobe juu ya mti, elewa kwamba pale juu ya mti kawekwa hana uwezo wa kukaa pale.WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha utawala wa sheria na taasisi za umma.
"Hakuna maendeleo ya kudumu bila kujenga watu wenye maadili, uzalendo na uwajibikaji. Kama Taifa tuna kila sababu ya kuendelea kuwekeza katika kujenga tabia ya wananchi pamoja na kuimarisha taasisi zetu," amesema.
Waziri Mkuu amesema hayo leo (Jumatatu, Julai 20, 2026) alipokutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Soma Pia: Dkt Mwigulu Nchemba: Ukitaka Siasa Anzisha Chama Chako Usipeleke Siasa Makanisani Kuvuruga Kanisa na kuleta Fujo
Katika mazungumzo hayo, Mzee Butiku alimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake na juhudi anazoendelea kuzifanya katika kuiongoza nchi. Pia, alimpongeza Waziri Mkuu kwa mchango wake katika kumsaidia Mheshimiwa Rais kusimamia Serikali na kuhakikisha utekelezaji wa majukumu ya Serikali unaendelea kwa ufanisi. Amesema amekuwa akifuatilia kwa ukaribu ziara za Waziri Mkuu mikoani na kujionea namna zilivyochangia kutatua changamoto za wananchi na kuimarisha utoaji wa huduma.
Butiku kafika bei.WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha utawala wa sheria na taasisi za umma.
"Hakuna maendeleo ya kudumu bila kujenga watu wenye maadili, uzalendo na uwajibikaji. Kama Taifa tuna kila sababu ya kuendelea kuwekeza katika kujenga tabia ya wananchi pamoja na kuimarisha taasisi zetu," amesema.
Waziri Mkuu amesema hayo leo (Jumatatu, Julai 20, 2026) alipokutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Soma Pia: Dkt Mwigulu Nchemba: Ukitaka Siasa Anzisha Chama Chako Usipeleke Siasa Makanisani Kuvuruga Kanisa na kuleta Fujo
Katika mazungumzo hayo, Mzee Butiku alimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake na juhudi anazoendelea kuzifanya katika kuiongoza nchi. Pia, alimpongeza Waziri Mkuu kwa mchango wake katika kumsaidia Mheshimiwa Rais kusimamia Serikali na kuhakikisha utekelezaji wa majukumu ya Serikali unaendelea kwa ufanisi. Amesema amekuwa akifuatilia kwa ukaribu ziara za Waziri Mkuu mikoani na kujionea namna zilivyochangia kutatua changamoto za wananchi na kuimarisha utoaji wa huduma.
Huo ni ujinga .wanataka kuwapumbaza wananchi wawe Mazezeta ili wapite vizuri rasilimali ya nchi.uzalendo ungeanzia kwao kwa kuitumikia nchi kwa maadili,kufuata sheria,kulinda maslahi ya nchi.wao wanakwapua raslimali za nchi halafu wanataka tuwe wazalendo hiyo si kweli.waanze wao kwanza kuwa wazalendo.WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha utawala wa sheria na taasisi za umma.
"Hakuna maendeleo ya kudumu bila kujenga watu wenye maadili, uzalendo na uwajibikaji. Kama Taifa tuna kila sababu ya kuendelea kuwekeza katika kujenga tabia ya wananchi pamoja na kuimarisha taasisi zetu," amesema.
Waziri Mkuu amesema hayo leo (Jumatatu, Julai 20, 2026) alipokutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Soma Pia: Dkt Mwigulu Nchemba: Ukitaka Siasa Anzisha Chama Chako Usipeleke Siasa Makanisani Kuvuruga Kanisa na kuleta Fujo
Katika mazungumzo hayo, Mzee Butiku alimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake na juhudi anazoendelea kuzifanya katika kuiongoza nchi. Pia, alimpongeza Waziri Mkuu kwa mchango wake katika kumsaidia Mheshimiwa Rais kusimamia Serikali na kuhakikisha utekelezaji wa majukumu ya Serikali unaendelea kwa ufanisi. Amesema amekuwa akifuatilia kwa ukaribu ziara za Waziri Mkuu mikoani na kujionea namna zilivyochangia kutatua changamoto za wananchi na kuimarisha utoaji wa huduma.
Ni muhimu kutenganisha haya mawili kwa mustabali mwema wa jamii na taifa kwa ujumla;FISADI PAPA linapohubiri MAADILI.
Nchi ya WANAFIKI.