Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
Wagogo wanaliita ziwa sio mimi kiongoziZiwa au bwawa ndugu lilikuwa linaitwa ziwa gani lisiloonekana kwenye ramani? Swap area unaita ziwa hebu tupumzishe

Kiongozi anaheshimiwa, mtawala anaengoza kwa mabavu hastahili heshimaWAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha utawala wa sheria na taasisi za umma.
"Hakuna maendeleo ya kudumu bila kujenga watu wenye maadili, uzalendo na uwajibikaji. Kama Taifa tuna kila sababu ya kuendelea kuwekeza katika kujenga tabia ya wananchi pamoja na kuimarisha taasisi zetu," amesema.
Waziri Mkuu amesema hayo leo (Jumatatu, Julai 20, 2026) alipokutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Soma Pia: Dkt Mwigulu Nchemba: Ukitaka Siasa Anzisha Chama Chako Usipeleke Siasa Makanisani Kuvuruga Kanisa na kuleta Fujo
Katika mazungumzo hayo, Mzee Butiku alimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake na juhudi anazoendelea kuzifanya katika kuiongoza nchi. Pia, alimpongeza Waziri Mkuu kwa mchango wake katika kumsaidia Mheshimiwa Rais kusimamia Serikali na kuhakikisha utekelezaji wa majukumu ya Serikali unaendelea kwa ufanisi. Amesema amekuwa akifuatilia kwa ukaribu ziara za Waziri Mkuu mikoani na kujionea namna zilivyochangia kutatua changamoto za wananchi na kuimarisha utoaji wa huduma.
Sheria mdomoni, matendo,Ziro!WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha utawala wa sheria na taasisi za umma.
"Hakuna maendeleo ya kudumu bila kujenga watu wenye maadili, uzalendo na uwajibikaji. Kama Taifa tuna kila sababu ya kuendelea kuwekeza katika kujenga tabia ya wananchi pamoja na kuimarisha taasisi zetu," amesema.
Waziri Mkuu amesema hayo leo (Jumatatu, Julai 20, 2026) alipokutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Soma Pia: Dkt Mwigulu Nchemba: Ukitaka Siasa Anzisha Chama Chako Usipeleke Siasa Makanisani Kuvuruga Kanisa na kuleta Fujo
Katika mazungumzo hayo, Mzee Butiku alimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake na juhudi anazoendelea kuzifanya katika kuiongoza nchi. Pia, alimpongeza Waziri Mkuu kwa mchango wake katika kumsaidia Mheshimiwa Rais kusimamia Serikali na kuhakikisha utekelezaji wa majukumu ya Serikali unaendelea kwa ufanisi. Amesema amekuwa akifuatilia kwa ukaribu ziara za Waziri Mkuu mikoani na kujionea namna zilivyochangia kutatua changamoto za wananchi na kuimarisha utoaji wa huduma.
Ng'ombe atakupa nyama au maziwa!Kuliko kuweka imani kwa huyu muhuni bora nimuamini ng'ombe
Hatuhitaji WANAFIKI na WEZI.Ni muhimu kutenganisha haya mawili kwa mustabali mwema wa jamii na taifa kwa ujumla;
1. Hoja yake (safi, ina mashiko/mbaya, haina mashiko).
2. Mtoa hoja (kiongozi mzuri, anatufaa/mbaya na fisadi, hatufai).
Bila kujadili namna hii itakuwa vurugu tupu.
Duh....kwahiyo swamp bado ipo?Wagogo wanaliita ziwa sio mimi kiongozi
.Mwigulu huyu huyu? ninayemjuaWAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha utawala wa sheria na taasisi za umma.
"Hakuna maendeleo ya kudumu bila kujenga watu wenye maadili, uzalendo na uwajibikaji. Kama Taifa tuna kila sababu ya kuendelea kuwekeza katika kujenga tabia ya wananchi pamoja na kuimarisha taasisi zetu," amesema.
Waziri Mkuu amesema hayo leo (Jumatatu, Julai 20, 2026) alipokutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Soma Pia: Dkt Mwigulu Nchemba: Ukitaka Siasa Anzisha Chama Chako Usipeleke Siasa Makanisani Kuvuruga Kanisa na kuleta Fujo
Katika mazungumzo hayo, Mzee Butiku alimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake na juhudi anazoendelea kuzifanya katika kuiongoza nchi. Pia, alimpongeza Waziri Mkuu kwa mchango wake katika kumsaidia Mheshimiwa Rais kusimamia Serikali na kuhakikisha utekelezaji wa majukumu ya Serikali unaendelea kwa ufanisi. Amesema amekuwa akifuatilia kwa ukaribu ziara za Waziri Mkuu mikoani na kujionea namna zilivyochangia kutatua changamoto za wananchi na kuimarisha utoaji wa huduma.
Sijui limekauka sahivi.Siku nyingi sijaenda hiyo mitaaDuh....kwahiyo swamp bado ipo?
Kwahiyo Oyster bay ya Dom imeanza kuitwa lini labda unifahamishe baada ya serikali kuanza kujenga huko?Sijui limekauka sahivi.Siku nyingi sijaenda hiyo mitaa
Oysterbay ya Makulu mbona hipo kitambo kabla hata Magufuri hajawa rais labda kama kuna nyingine lakini kama ya Makulu hipo kitambo sanaKwahiyo Oyster bay ya Dom imeanza kuitwa lini labda unifahamishe baada ya serikali kuanza kujenga huko?
Ni kweli, maendeleo ya taifa hayaamuliwi na miundombinu au uchumi pekee, bali pia na maadili ya wananchi wake. Uzalendo, uwajibikaji, uadilifu na kuheshimu utawala wa sheria ni msingi wa maendeleo endelevu na taasisi imara. Taifa lenye watu wenye maadili lina uwezo mkubwa wa kufikia maendeleo ya kweli. cha kusikitisha tuna watu wanaojiita viongozi lakini hawana hayo maadiliWAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha utawala wa sheria na taasisi za umma.