Dkt. Mwigulu: Hakuna maendeleo ya kudumu bila kujenga watu wenye maadili, uzalendo na uwajibikaji

Kiongozi anaheshimiwa, mtawala anaengoza kwa mabavu hastahili heshima

Shida ya ma SISIEMU wanaendesha nchi kama familia zao za nyumbani. Fikra finyun🤏
 
Sheria mdomoni, matendo,Ziro!
 
Hatuhitaji WANAFIKI na WEZI.
 
.Mwigulu huyu huyu? ninayemjua
 
Kwahiyo Oyster bay ya Dom imeanza kuitwa lini labda unifahamishe baada ya serikali kuanza kujenga huko?
Oysterbay ya Makulu mbona hipo kitambo kabla hata Magufuri hajawa rais labda kama kuna nyingine lakini kama ya Makulu hipo kitambo sana
 
Ni kweli, maendeleo ya taifa hayaamuliwi na miundombinu au uchumi pekee, bali pia na maadili ya wananchi wake. Uzalendo, uwajibikaji, uadilifu na kuheshimu utawala wa sheria ni msingi wa maendeleo endelevu na taasisi imara. Taifa lenye watu wenye maadili lina uwezo mkubwa wa kufikia maendeleo ya kweli. cha kusikitisha tuna watu wanaojiita viongozi lakini hawana hayo maadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…