Kwenye mradi kuna changamoto huwa zinatokea zinazopelekea mradi kuchelewa, mfano swala la corona. Chukulia mfano kwenye huo ujenzi kama kuna material wanatakiwa kuzisafirisha kutoka nje.
Naweza kukubaliana na wewe lakini wataalamu walishatabiri hapo kabla kwamba ujenzi wa sgr kutoka dar mpk huko mnakotazamia ifike itachukua zaidi ya miaka 15. Tuweke Wananchi wazi ili kusiwe na maswali mbeleni. Sasa sikikiza gharama ya mradi ufananishe na ile iliyosemwa mwanzoni huoni hiyo ni kulaghai Wananchi?
Hawa ndiyo watu wa fix. JPM alikomaa na kodi kwa wafanyabiashara hawa wao wameamua kusamehe kodi na kutegemea mikopo. Yaani hela yako unalewea kisha unakwenda kuomba chakula kwa jirani