KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
"Au nasema uongo"Mwendazake alikua mtu wa fix sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Au nasema uongo"Mwendazake alikua mtu wa fix sana
Naweza kukubaliana na wewe lakini wataalamu walishatabiri hapo kabla kwamba ujenzi wa sgr kutoka dar mpk huko mnakotazamia ifike itachukua zaidi ya miaka 15. Tuweke Wananchi wazi ili kusiwe na maswali mbeleni. Sasa sikikiza gharama ya mradi ufananishe na ile iliyosemwa mwanzoni huoni hiyo ni kulaghai Wananchi?Kwenye mradi kuna changamoto huwa zinatokea zinazopelekea mradi kuchelewa, mfano swala la corona. Chukulia mfano kwenye huo ujenzi kama kuna material wanatakiwa kuzisafirisha kutoka nje.
Si mlisema fedha za ndani?..Kwa hiyo ulitaka asikope, hiyo miradi angeijengaje na nyie mkiambiwa kulipa kodi hamtaki
hahahahaha , we jamaaa weweHahaa yani mwendazake alikuwa hana tofauti na wale matapeli wa Ubungo bus terminal
Hawa ndiyo watu wa fix. JPM alikomaa na kodi kwa wafanyabiashara hawa wao wameamua kusamehe kodi na kutegemea mikopo. Yaani hela yako unalewea kisha unakwenda kuomba chakula kwa jiraniMwendazake alikua mtu wa fix sana