Nenda google kajifunze nini maana ya kufreeze account.Alikuwa anakusanya kodi,au alikuwa anaingia kwenye account za watu anapora fedha?
Mama sialiwambia TRA wasikusanye kodi kwa matajiri/wafanyabiashara,kwa miezi kama mitatu hivi,ili wafanyabiashara wapate faida ndio walipe kodi,Sasa kama ndio hivi ela ya kuendesha miradi itatoka Wapi?Sabili kama miezi minne hivi Mambo yatakaa sawa, matajiri watakapo anza kulipa kodi 😄😃😃😁Serikali ya ccm inaongoza nchi kwa kywaomgopea watanzania. Tuliambiwa miradi yote inajengwa kwa pesa za kodi zetu yaani pesa za ndani. Lakini leo anasimama waziri anatuambia ni mikopo inatumika kuijenga miradi. Marehemu na hawa wa sasa nani anawadanganya watanzania?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa kama nipige tafu, hatukuweka hivyo”, alieleza Dkt. Nchemba.
Alibainisha kuwa haimaanishi kwamba shilingi 10 sio mzigo lakini Serikali iliangalia matatizo yaliyopo na kugundua kuwa yanagharimu zaidi, kuliko thamani ya shilingi 10 itakayotozwa kama kodi.
Alifafanua kuwa miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.
My Take:
Leo mmeamua kutuvisha zigo la kujenga Reli na Bwawa la Stiegglers kupitia simu zetu wakati mlituambia fedha ipo na mipango ilikuwa tayari mezani. What went wrong?? (In Dk Mpamire`s voice).
Sasa kama kuna ugumu ktk Mradi wa SGR, mbona huyu Mama ameenda Mwanza kuzindua kipande kingine cha kutoka Mwanza hadi Isaka?siangeliacha kwani kunamtu aliyemlazimisha kuindeleza?,tabu Watanzania wamezoea misaada kila kitu kufanyiwa na mwekezaji,ukitaka kufanikiwa ktk maisha lazima kuumia, kitu Watanzania wengi hawataki,hakuna Mzungu wa kuja kukujengea nchi yako Tanzania itajengwa na Mtanzania mwenyewe hata kwa kuumia.wale wenzetu wagumu kuelewa....sasa bila shaka mtaanza kuelewa. Binafsi nilijua haya big project tuliyoyavagaa mwisho wake ni hatari, nilipenda sana yule jamaa awepo ili aone matokeo ya akili zake....Binafsi nilijua tu mwisho wake, kuzipata hizo hela sio kazi rahisi ndio maana SGR ilikuwa inasuasua maana issue ni malipo....kuendesha mambo kwa uwazi ni jambo zuri sana kuliko ule uhuni matokeo yake mpaka leo wenye uwezo mdogo wa kufikiri walizibeba propaganda..
Mikutano ya vyama vya siasa ndio inajenga nchi,?Kwa ujumla, awamu ya 5, zaidi ilitegemea ulaghai ili kutafuta kuungwa mkono, hasa na watu wajinga. Na hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya yeye kuzuia mikutano ya vyama vya siasa, na uhuru wa vyombo vya habari, kwa kuhofia kuwa hata wale wajinga wanaweza kueleimika wakaujua ukweli.
Kwa Magufuri ni Mradi hupi ulikwama? mbona tuliona masoko ya kisasa vituo vya mabasi ya kisasa vikijengwa Dodoma city ikijengwa kwa kasi,ndege zikinunuliwa kwa cesh,mabarabara yakijengwa,tena kwenye mdororo wa uchumi kwasababu ya corona, Hakuna kiongozi yeyeto atakayeweza kumfikia Magufuri kwa ubunifu wa kutafuta pesa,huyu wa Sasa anawaza wawekaji tu eti ndio waje waijenge Tanzania,kila siku anawaza misaada ya wazungu, wakati tuna lasmali kibao za kutukwamua.Mkuu wewe bado umevimbiwa na matango pori uliyolishwa na magufuli? Hivi wakati unasikiwa watu wanasema magufuli alikuwa baba wa uongo,wewe ulikuwa unaelewa nini? Anyway lipa kodi kwa maendeleo ya nchi yako
Sawa Mhe WaziriNdicho wanacho maanisha,kwani serikali ina biashara gani kwamba itafanya kwa fedha zake,unapoambiwa hawahitaji kukopa zaidi maana yake pesa hiyo itapatikana kwa njia ya kodi na hiyo ndio maana yapesa zetu wenyewe. Kwa maana nyingine pesa za serikali ni fedha inayotokana na kodi,gawio na tozo hiyo ndio biashara ya serikali.
Kuanzia Ndugai, wabunge na mawaziri, wote hawana mandate ya kulipwa mabilioni ya mishahara na marupurupu kibao kwa fedha zetu. Kwasababu uchaguzi mkuu wa 2020 hukuwa halali na HURU.“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa kama nipige tafu, hatukuweka hivyo”, alieleza Dkt. Nchemba.
Alibainisha kuwa haimaanishi kwamba shilingi 10 sio mzigo lakini Serikali iliangalia matatizo yaliyopo na kugundua kuwa yanagharimu zaidi, kuliko thamani ya shilingi 10 itakayotozwa kama kodi.
Alifafanua kuwa miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.
My Take:
Leo mmeamua kutuvisha zigo la kujenga Reli na Bwawa la Stiegglers kupitia simu zetu wakati mlituambia fedha ipo na mipango ilikuwa tayari mezani. What went wrong?? (In Dk Mpamire`s voice).
Wacha uongo wewe hao hata wasio kwenye ajira rasmi wanalipa kodi ya VAT au hujui kodi ya VAT anayeilipa ni mlaji?Nchi inajengwa na mwananchi mwenyewe, nashauri waziri kila Mtanzania ana wajibu wa kulipa kodi ili kujenga nchi yake,uangaliwe utaratibu wa day worker au vibarua wa viwandani,migodini.
Kwenye miradi mbalimbali ya serikali na binafsi nao wanawajibu wa kulipa kodi kama analipwa 5000 kwa siku akikatwa hata 200 inatosha ajira zisizo rasmi zina watu wengi kushinda hata watumishi walio kwenye ajira rasmi, utekelezaji wake ni simple tu kila kiwanda.
Mgodi, au kwenye mradi wowote mkubwa lazima wawe na rekodi ya vibarua wao walio fanya kazi kwa kila siku na kiasi wanachowalipa na wakati wa kuwalipa wanakata kodi kabisa TRA wapo makini sana hii kazi haiwezi kuwa ngumu kwao, nchi za ulaya viwandani hii imeshazoeleka.
Sasa hizo hela alikuwa anaziacha anaziangalia tu kama sanamu sio?Nenda google kajifunze nini maana ya kufreeze account.
Freeze maana yake kuganda.
Liquid ni maji maji.
Pesa inabadilishwa na bank toka state ya liquid mpaka frozen 0'c mpaka hukumu I toke ndo zinakuwa liquid.
Nenda google kajifunze usilete ubishi wa kisiasa
Akaongeza vipi sasa deni la taifa kwa 31trillion?Kwa Magufuri ni Mradi hupi ulikwama? mbona tuliona masoko ya kisasa vituo vya mabasi ya kisasa vikijengwa Dodoma city ikijengwa kwa kasi,ndege zikinunuliwa kwa cesh,mabarabara yakijengwa,tena kwenye mdororo wa uchumi kwasababu ya corona, Hakuna kiongozi yeyeto atakayeweza kumfikia Magufuri kwa ubunifu wa kutafuta pesa,huyu wa Sasa anawaza wawekaji tu eti ndio waje waijenge Tanzania,kila siku anawaza misaada ya wazungu, wakati tuna lasmali kibao za kutukwamua.
Kwani sasahivi ndio hawakopi?Akaongeza vipi sasa deni la taifa kwa 31trillion?
Kama kweli pesa zingekuwa ni za ndani tusingekuwa na hili deni la kiasi hiki..acheni porojo..huwezi kukopa karibia zaidi ya walichokopa Nyerere,Mwinyi,Mzee wa Lupaso na Mzee wa Msoga in combine.Kwani sasahivi ndio hawakopi?
Kwa hiyo ulitaka asikope, hiyo miradi angeijengaje na nyie mkiambiwa kulipa kodi hamtakiKama kweli pesa zingekuwa ni za ndani tusingekuwa na hili deni la kiasi hiki..acheni porojo..huwezi kukopa karibia zaidi ya walichokopa Nyerere,Mwinyi,Mzee wa Lupaso na Mzee wa Msongo in combine.
Kama shetaniMagufuli alikuwa mwongo sana yule mzee sijui alikuwa anafaidikaje
Alikuwa mwongo kupindukia lakini mwoga/hataki kujadiliwa. Ndio maana alikuwa anashinda akidukua simu zote.“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa kama nipige tafu, hatukuweka hivyo”, alieleza Dkt. Nchemba.
Alibainisha kuwa haimaanishi kwamba shilingi 10 sio mzigo lakini Serikali iliangalia matatizo yaliyopo na kugundua kuwa yanagharimu zaidi, kuliko thamani ya shilingi 10 itakayotozwa kama kodi.
Alifafanua kuwa miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.
My Take:
Leo mmeamua kutuvisha zigo la kujenga Reli na Bwawa la Stiegglers kupitia simu zetu wakati mlituambia fedha ipo na mipango ilikuwa tayari mezani. What went wrong?? (In Dk Mpamire`s voice).
Hahaa yani mwendazake alikuwa hana tofauti na wale matapeli wa Ubungo bus terminalMwendazake alikua mtu wa fix sana
Mi nikiangalia Ubungo exchange,Magufuli alikuwa mwongo sana yule mzee sijui alikuwa anafaidikaje