Dkt. Mwigulu, inakuwaje mnatuambia Miradi ya Hayati Dkt. Magufuli inaendeshwa kwa mikopo mikubwa na migumu kuhimilika?

Dkt. Mwigulu, inakuwaje mnatuambia Miradi ya Hayati Dkt. Magufuli inaendeshwa kwa mikopo mikubwa na migumu kuhimilika?

Alikuwa anakusanya kodi,au alikuwa anaingia kwenye account za watu anapora fedha?
Nenda google kajifunze nini maana ya kufreeze account.
Freeze maana yake kuganda.
Liquid ni maji maji.
Pesa inabadilishwa na bank toka state ya liquid mpaka frozen 0'c mpaka hukumu I toke ndo zinakuwa liquid.
Nenda google kajifunze usilete ubishi wa kisiasa
 
Serikali ya ccm inaongoza nchi kwa kywaomgopea watanzania. Tuliambiwa miradi yote inajengwa kwa pesa za kodi zetu yaani pesa za ndani. Lakini leo anasimama waziri anatuambia ni mikopo inatumika kuijenga miradi. Marehemu na hawa wa sasa nani anawadanganya watanzania?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mama sialiwambia TRA wasikusanye kodi kwa matajiri/wafanyabiashara,kwa miezi kama mitatu hivi,ili wafanyabiashara wapate faida ndio walipe kodi,Sasa kama ndio hivi ela ya kuendesha miradi itatoka Wapi?Sabili kama miezi minne hivi Mambo yatakaa sawa, matajiri watakapo anza kulipa kodi 😄😃😃😁
 
“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa kama nipige tafu, hatukuweka hivyo”, alieleza Dkt. Nchemba.

Alibainisha kuwa haimaanishi kwamba shilingi 10 sio mzigo lakini Serikali iliangalia matatizo yaliyopo na kugundua kuwa yanagharimu zaidi, kuliko thamani ya shilingi 10 itakayotozwa kama kodi.

Alifafanua kuwa miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.

My Take:
Leo mmeamua kutuvisha zigo la kujenga Reli na Bwawa la Stiegglers kupitia simu zetu wakati mlituambia fedha ipo na mipango ilikuwa tayari mezani. What went wrong?? (In Dk Mpamire`s voice).
Screenshot_20210619-085608.png

Imekuwaje tena??
 
wale wenzetu wagumu kuelewa....sasa bila shaka mtaanza kuelewa. Binafsi nilijua haya big project tuliyoyavagaa mwisho wake ni hatari, nilipenda sana yule jamaa awepo ili aone matokeo ya akili zake....Binafsi nilijua tu mwisho wake, kuzipata hizo hela sio kazi rahisi ndio maana SGR ilikuwa inasuasua maana issue ni malipo....kuendesha mambo kwa uwazi ni jambo zuri sana kuliko ule uhuni matokeo yake mpaka leo wenye uwezo mdogo wa kufikiri walizibeba propaganda..
Sasa kama kuna ugumu ktk Mradi wa SGR, mbona huyu Mama ameenda Mwanza kuzindua kipande kingine cha kutoka Mwanza hadi Isaka?siangeliacha kwani kunamtu aliyemlazimisha kuindeleza?,tabu Watanzania wamezoea misaada kila kitu kufanyiwa na mwekezaji,ukitaka kufanikiwa ktk maisha lazima kuumia, kitu Watanzania wengi hawataki,hakuna Mzungu wa kuja kukujengea nchi yako Tanzania itajengwa na Mtanzania mwenyewe hata kwa kuumia.
 
Kwa ujumla, awamu ya 5, zaidi ilitegemea ulaghai ili kutafuta kuungwa mkono, hasa na watu wajinga. Na hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya yeye kuzuia mikutano ya vyama vya siasa, na uhuru wa vyombo vya habari, kwa kuhofia kuwa hata wale wajinga wanaweza kueleimika wakaujua ukweli.
Mikutano ya vyama vya siasa ndio inajenga nchi,?
Kwa nini usijifungie wewe na mkeo mkafanya hiyo mikutano, hivi hizo porojo za kwenye mikutano inkisaidia nini wewe, haya Magufuli hayupo na mikutano inafanywa, mimi nasubiri Niobe impact yake.
 
Mkuu wewe bado umevimbiwa na matango pori uliyolishwa na magufuli? Hivi wakati unasikiwa watu wanasema magufuli alikuwa baba wa uongo,wewe ulikuwa unaelewa nini? Anyway lipa kodi kwa maendeleo ya nchi yako
Kwa Magufuri ni Mradi hupi ulikwama? mbona tuliona masoko ya kisasa vituo vya mabasi ya kisasa vikijengwa Dodoma city ikijengwa kwa kasi,ndege zikinunuliwa kwa cesh,mabarabara yakijengwa,tena kwenye mdororo wa uchumi kwasababu ya corona, Hakuna kiongozi yeyeto atakayeweza kumfikia Magufuri kwa ubunifu wa kutafuta pesa,huyu wa Sasa anawaza wawekaji tu eti ndio waje waijenge Tanzania,kila siku anawaza misaada ya wazungu, wakati tuna lasmali kibao za kutukwamua.
 
Ndicho wanacho maanisha,kwani serikali ina biashara gani kwamba itafanya kwa fedha zake,unapoambiwa hawahitaji kukopa zaidi maana yake pesa hiyo itapatikana kwa njia ya kodi na hiyo ndio maana yapesa zetu wenyewe. Kwa maana nyingine pesa za serikali ni fedha inayotokana na kodi,gawio na tozo hiyo ndio biashara ya serikali.
Sawa Mhe Waziri
 
“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa kama nipige tafu, hatukuweka hivyo”, alieleza Dkt. Nchemba.

Alibainisha kuwa haimaanishi kwamba shilingi 10 sio mzigo lakini Serikali iliangalia matatizo yaliyopo na kugundua kuwa yanagharimu zaidi, kuliko thamani ya shilingi 10 itakayotozwa kama kodi.

Alifafanua kuwa miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.

My Take:
Leo mmeamua kutuvisha zigo la kujenga Reli na Bwawa la Stiegglers kupitia simu zetu wakati mlituambia fedha ipo na mipango ilikuwa tayari mezani. What went wrong?? (In Dk Mpamire`s voice).
Kuanzia Ndugai, wabunge na mawaziri, wote hawana mandate ya kulipwa mabilioni ya mishahara na marupurupu kibao kwa fedha zetu. Kwasababu uchaguzi mkuu wa 2020 hukuwa halali na HURU.
Kwa sasa tuna kamati ndogo ya CCM imejipa kazi isiyo yao kututungia sheria na kuidhinisha bajeti ya nchi.

Hakuna hata uhalali wa kupoteza mabilioni kulipa watu chungu nzima kukaa Dodoma miezi kadhaa eti kujadili na kupitisha bajeti! Jambo ambalo lingefanywa na watu kumi kwenye ofisi ndogo ya CCM Lumumba st.

Ulimwengu unatushangaa sana kwa maigizo yanayoendelea Dodoma.

Tamko la UN kuhusu haki za binadamu; soma Ibara ya 21. Kuifungu cha kwanza hadi cha tatu. (Article 21 clause 1, 2, and 3). Sehemu hii inaweka wazi kwamba:

"The WILL OF THE PEOPLE shall be the basis of the authority of government; this will shall be expressed in periodic and genuine elections which shall be by universal and equal suffrage and shall be held by secret vote or by equivalent free voting procedure".

Samahani, bahati mbaya mimi siyo mtaalamu wa kiswahili ili kuwatafsiria lugha ya hapo juu.

Lakini watawala na pia kuna watu humu wanadai kwamba nchi zetu sisi Waafrika eti siyo lazima tutekeleze Tamko la UN kuhusu haki za binadamu kama lilivyo. Na kwamba tamko hilo linawahusu Marekani na Ulaya tu. Baadhi wanasema ati sisi tuna tamaduni na tunu zetu za Kiafrika au kitanzania! Hizi hoja potofu ZISIZO na msingi.

Karibu vitabu vyote vya dini Kiislam na Kikristo havikuandikwa na Watanzania au Waafrika. Sijasikia watawala au waumini kupinga au kukubali baadhi ya maneno ya misaafu au biblia. Kwamfano kwa kukataza kitimito au kuoa wake wawili mpaka wanne nk.!

Kama umeamua kuwa mkristo huwezi sema eti utaoa wake wanne kwasababu ndiyo mila za kitanzania au za kabila lenu!

Lengo la (Universal declaration of human rights) tamko la UN kuhusu haki za binadamu ni kulinda haki hizo kwa viumbe wa Mungu wanaoitwa Binadamu dunia nzima. Na ni 'hata kama binadamu hao wako kwenye kisiwa ambacho hakimo katika ramani ya dunia'; ndivyo inavyosemwa ktk sehemu ya utangulizi (preamble) ya Tamko.

Kwahiyo watawala na baadhi ya Wana-JF kwa kutudharau, wanadiriki kusema kwamba tamko hilo linawahusu Marekani na Ulaya tu! Je, tutaendelea kukubali kwamba kweli sisi siyo binadamu kama Wamarekani au Wazungu?

Nchi yetu imebarikiwa sana kuwa na wananchi wanaopenda amani na utulivu. Na sasa tumempata Mkuu wa Nchi anayeonekana kujali na kuthamini misingi ya haki, sheria na demokrasia. Pamoja na Utawala Bora.

Ni wakati mzuri wa kuchangia kwa hoja za msingi, kwa heshima na kistaarabu; ili arekebishe makosa yaliyofanywa na watangulizi wake pia na sisi wananchi kwa kuburuzwa kama kondoo miaka yote.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Nchi inajengwa na mwananchi mwenyewe, nashauri waziri kila Mtanzania ana wajibu wa kulipa kodi ili kujenga nchi yake,uangaliwe utaratibu wa day worker au vibarua wa viwandani,migodini.

Kwenye miradi mbalimbali ya serikali na binafsi nao wanawajibu wa kulipa kodi kama analipwa 5000 kwa siku akikatwa hata 200 inatosha ajira zisizo rasmi zina watu wengi kushinda hata watumishi walio kwenye ajira rasmi, utekelezaji wake ni simple tu kila kiwanda.

Mgodi, au kwenye mradi wowote mkubwa lazima wawe na rekodi ya vibarua wao walio fanya kazi kwa kila siku na kiasi wanachowalipa na wakati wa kuwalipa wanakata kodi kabisa TRA wapo makini sana hii kazi haiwezi kuwa ngumu kwao, nchi za ulaya viwandani hii imeshazoeleka.
Wacha uongo wewe hao hata wasio kwenye ajira rasmi wanalipa kodi ya VAT au hujui kodi ya VAT anayeilipa ni mlaji?
 
Nenda google kajifunze nini maana ya kufreeze account.
Freeze maana yake kuganda.
Liquid ni maji maji.
Pesa inabadilishwa na bank toka state ya liquid mpaka frozen 0'c mpaka hukumu I toke ndo zinakuwa liquid.
Nenda google kajifunze usilete ubishi wa kisiasa
Sasa hizo hela alikuwa anaziacha anaziangalia tu kama sanamu sio?
 
Kwa Magufuri ni Mradi hupi ulikwama? mbona tuliona masoko ya kisasa vituo vya mabasi ya kisasa vikijengwa Dodoma city ikijengwa kwa kasi,ndege zikinunuliwa kwa cesh,mabarabara yakijengwa,tena kwenye mdororo wa uchumi kwasababu ya corona, Hakuna kiongozi yeyeto atakayeweza kumfikia Magufuri kwa ubunifu wa kutafuta pesa,huyu wa Sasa anawaza wawekaji tu eti ndio waje waijenge Tanzania,kila siku anawaza misaada ya wazungu, wakati tuna lasmali kibao za kutukwamua.
Akaongeza vipi sasa deni la taifa kwa 31trillion?
 
Kwani sasahivi ndio hawakopi?
Kama kweli pesa zingekuwa ni za ndani tusingekuwa na hili deni la kiasi hiki..acheni porojo..huwezi kukopa karibia zaidi ya walichokopa Nyerere,Mwinyi,Mzee wa Lupaso na Mzee wa Msoga in combine.
 
Kama kweli pesa zingekuwa ni za ndani tusingekuwa na hili deni la kiasi hiki..acheni porojo..huwezi kukopa karibia zaidi ya walichokopa Nyerere,Mwinyi,Mzee wa Lupaso na Mzee wa Msongo in combine.
Kwa hiyo ulitaka asikope, hiyo miradi angeijengaje na nyie mkiambiwa kulipa kodi hamtaki
 
“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa kama nipige tafu, hatukuweka hivyo”, alieleza Dkt. Nchemba.

Alibainisha kuwa haimaanishi kwamba shilingi 10 sio mzigo lakini Serikali iliangalia matatizo yaliyopo na kugundua kuwa yanagharimu zaidi, kuliko thamani ya shilingi 10 itakayotozwa kama kodi.

Alifafanua kuwa miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.

My Take:
Leo mmeamua kutuvisha zigo la kujenga Reli na Bwawa la Stiegglers kupitia simu zetu wakati mlituambia fedha ipo na mipango ilikuwa tayari mezani. What went wrong?? (In Dk Mpamire`s voice).
Alikuwa mwongo kupindukia lakini mwoga/hataki kujadiliwa. Ndio maana alikuwa anashinda akidukua simu zote.
 
Magufuli alikuwa mwongo sana yule mzee sijui alikuwa anafaidikaje
Mi nikiangalia Ubungo exchange,
nikiangalia Stand kuu ya Magufuli,
nikiangalia midege iliyoshuka,
mahospitali aliyojenga nchi nzima,
serikali kuhamia DODOMA,
kamata Singasinga na kuiondoa TANESCO mikononi mwa IPTL,
Jenga ukuta Merelani,
Mabosi wa Barick kutufuata Bongo kuja kunegotiate na sie badala ya sie kuwafuata,
fukuza vyeti feki na wafanya kazi hewa
yoooooooote ndani ya miaka mitano tu!
...namkumbuka sana mzee wa kuchekacheka enzi zake.
 
Back
Top Bottom