Dkt. Mwigulu: Kila siku tunakaa vikao vya kisekta kuhakikisha mafuta yanakuwepo ili shughuli zisiathirike

Dkt. Mwigulu: Kila siku tunakaa vikao vya kisekta kuhakikisha mafuta yanakuwepo ili shughuli zisiathirike

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722


Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
 
Mama alisema muda si mrefu hali itakuwa shwari utadhani yeye ndiye alienda Islamabad kuwapatanisha Iran na Marekani. Nakumbuka mama alichagua upande wa Saudi ARABIA wakati vita inaanza kiasi kwamba anaona aibu kwenda kuomba walau tupitishe mtumbwi mmoja wa pipa 20 za mafuta ya taa Hormuz
 
Back
Top Bottom