Dkt. Mwigulu: Mpina afute kauli yake kwa kulipotosha Bunge

Daktari feki wa kupata kwa mchepuko siyo kusomea. Ningependa nione andiko lake na Dotto Biteko, Sulemani Jaffo, na wengine wenye kuchikichia shahada.
 
Sasa hapo kuna nini. Wenye akili tulijua Mpina alimaanisha tozo maana kodi hukusanyw na serikali peke yake.
 
acha umbea!
roho ya mpina
umeiona wapi
inavyoumia?
Lugha ya picha lazima uielewe, kila anachokiongea huyo Mpina ni chuki tu kwa serikali ya SSH haoni jema lolote.

Samia kumteua Hamza Johari kuwa AG inammaliza Mpina, kesi zote anazofungua zinagonga mwamba.

Kakosa uwaziri sasa anaongea maneno ya hasi ili awachafue hawa waliopewa uwaziri muda huu.
 
uongo ni tabia mbaya na ya fedhaha sana kama ilivyo kwa ombaomba wa kitaifa na kimataifa πŸ’
CCM ni janga la Taifa na Samia anafedhehesha nchi kwa kuwa omba omba wa Kimataifa!
 
huyu ni kibalaka wa wazungu hatufai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…