Uchaguzi 2020 Dkt. Mwigulu Nchemba adaiwa kuteka, kupiga na kuumiza wanaomuuliza maswali

Uchaguzi 2020 Dkt. Mwigulu Nchemba adaiwa kuteka, kupiga na kuumiza wanaomuuliza maswali

Nasikia jamaa ni muuaji mno tena mno..ana damu za watu wasio na hatia mikononi mwake nyingi sana.

Laana ya damu za watu iwe juu yake na vizazi vyake anavyovilisha,kuvivalisha na kuvisomesha kwa vipande vya fedha alivyopata kwa dhulma ya nafsi za watu wasio na hatia.
 
Mmeanza kimzushia Mwigulu upuuzi wenu maana jamaa amepiga Kampeni za kishindo tulieni sindano iwaingie
Yani unataka kuua mtu kisa amekuuliza maswali ambayo hauna majibu nayo na kwamba tunajua CCM hamna lolote mnalojua zaidi ya kuwafanya watanzania wajinga...
 
Acheni uzushi wa kipuuzi, kwa nini aje kuleta uzushi hapa Jf. Kwa nini asifungue kesi kama ni kweli?
Nani alikuambia kuwa mtu akifungua kesi hawezi kuja JF? au wewe ulifundishwa kuwa kinacholetwa hapa ni uzushi, na kinachofunguliwa kesi ndicho cha ukweli?
 
Huyu si ndiye aliyeratibu mauaji ya Dr. Sengodo Mvungi

Huyu jamaa ni Hitler wa Tanzania
 
Huyu si ndiye aliyeratibu mauaji ya Dr. Sengodo Mvungi

Huyu jamaa ni Hitler wa Tanzania
Sababu ilikuwa nini mkuu?..au ndio alikuwa anafanya aliyozoea kufanya kumwaga damu za watu bila sababu?
 
Huyu si ndiye aliyeratibu mauaji ya Dr. Sengodo Mvungi

Huyu jamaa ni Hitler wa Tanzania
Alikuwa na babako akiratibu ? Mmekuwa waongo na wazandiki watu wanachadema waliohusika na mauaji ya mvungi walikamatwa na walikuwa vijana wa BAVICHA na wao walitaka pesa tu kama alivyoiambia mahakama na hukumu ikatola Mwigulu hakuwahi kutajwa hata siku moja leo ndio unaleta ushuzi wako hapa
 
Back
Top Bottom