Uchaguzi 2020 Dkt. Mwigulu Nchemba adaiwa kuteka, kupiga na kuumiza wanaomuuliza maswali

CCM wamelaaniwa,eti wanampiga mnyonge nyundo ya kiuno![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa kama ni kutunyoosha Uchaguzi Mkuu wa nini? si bora mngeleta siku ya kunyooshana ambayo na sisi tungeleta Silaha zetu
Tunawanyoosha kwa kura wewe utopolo unawaza kupigana tu wakati ukipigwa kerebu moja tu hoi bin tabani!
 
Mmeanza kimzushia Mwigulu upuuzi wenu maana jamaa amepiga Kampeni za kishindo tulieni sindano iwaingie
Kabla ya kumkatalia au kumkubalia mlalamikaji itakuwa vizuri tumsikilize. Nchemba ni kweli ana tabia ya kutumia maguvu na huwa hana simile. Haya matatizo yake ya kutokuwa na muda wa kusiliza ndiyo yalimuondoa kwenye uwaziri mwanzoni. Hili ndilo kundi lilimpa mzee Warioba kibano bila aibu wakati wa mchanganuo wa katiba mpya. Mwigulu ana tabia kama za Stanlin wa Urussi na Hitler wa Ujermani. Huyo siyo mtu wa kuaminika. Ukipita kule kwao utaona kuna maandishi kwenye miamba yanayokemea hiyo tabia mbaya. Kwa hiyo ninaamini amehusika na kupigwa kwa huyu mwananchi.
 
Mwigulu tulia, wewe ni Muuaji unayejificha ficha na unaua kwa kuwatuma watu wafanye matukio.

Wewe ndio Mratibu wa mauaji ya Dr. Sengodo Mvungi.

Mlichezesha tu sheria kuua soo ila lawama ya watoto wa Mvungi itakutafuna.

We endelea tu na mauaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…