Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
πππ§. π πͺπππ¨ππ¨ πππ¨π§ππ‘π π‘π πππ©ππ‘π πͺπ πππ‘ππ ππ¨π¨ π¬π π§ππ‘πππ‘ππ
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 20, 2026 amefanya mazungumzo na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Emmanuel Tutuba, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.