atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umepiga kwenye kidondaKahaba anishawishi kulipa kodi? Hivi Tanzania kwa nini tunataka kuonyesha watoto wetu kuwa watu wanaoishia kwa njia za kijanja janja ndiyo wanastahili kutuzwa?
Akili yako haina tofauti na Id yakoUkistaajabu ya Musa utaona ya firauni. Kuna mwenyekiti wa chama kikuu fulan cha upinzani Tanzania elimu yake ni form 4 tu tena kwa kuunga unga, lkn cha kushangaza kweny chama chake anaongoza maprofesa kibao, tena anawaburuza kichizi. Ukiwa na chelete mfukoni elimu haina maana kabisa!
Dah! NAwe una kipaji. Fan base! Halafu fans walipe kodi? Naamini wewe ni wale munaoshinda mitandaoni kukariri maisha ya Diamond, Hamisa, j... Hebu jizuie kuondoa matatizo kama hayo angalau uwe na matumizi hapa JF.Nyie mnaopinga hapo juu mnajielewa? Wewe uliyesoma upo mbwinde huko na mbwana samatta au edo kumwembe nani ana fan base kubwa na anaweza kusikilizwa akihamasisha kodi?
Sijui huwa mnafikiria kwa kutumia makalio kwahiyo kufaulu darasa la 7 ndio kigezo cha kupewa hicho kitengo?Acha kudharau na kuharibu ugali wa wenzio. Kwa taarifa yako, Misa alifaulu darasa la saba na kusoma sekondari ya serikali. Ana akili kuliko wewe, hawezi shindwa kuamwaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa kulipa kodi kwa maendeleo ya taifa lao.
Yaani hawa ndiyo wataalam wa mambo ya kodi? CCM akili zao!!!!Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.
=========
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo
Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.
View attachment 1826377
Mchukue diamond akufundishe dini kwasababu ana followers wengi instagramMwigulu Yuko sahihi kutafta hawa watu maarufu na influencer kutumika kutoa elimu kwa walipa Kodi, ni Rahisi ma slay queen kumwelewa mobetto kulko prof wa udsm Tena hamisa ana huge followers, samatta na yeye pia ana follower's wengi na watu humfatilia pamoja na mpira.
Tusiwe Pinga Pinga wa kila jambo
Nahisi huwa wanatumia makalio kufikiria kama waliambiwaga na yule mkuu wa dar enzi hizoWakati mwingine unawaza hivi viongozi wetu wanatumia akili zao au kuna kiungo mbadala wanakitumia kufikiria tofauti na kichwa.....??
Joketi aanajitambua tofauti na huyo muuza nyapuNacho fahamu before Jokate kupata teuzi alikuwa public figure, na kama ilivyo kwa hamissa.
Kodi haina sura wala umaarufu hapo kaingia cha kike.Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.
=========
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo
Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.
View attachment 1826377
Unaweza kuamka asubuhi unajikuta umekuwa waziri mkuu hivihivi tu ππ"hii Nchi sio ya kuikatia tamaa, lolote linaweza kutokea"
Haki a mama tena, hausemi uongo ndugu yangu...Unaweza kuamka asubuhi unajikuta umekuwa waziri mkuu hivihivi tu ππ
Najuta mie aisee kuna mtu aliniuliza una kadi ya chama kama hauna chukua nikazembea, sasa hivi yupo pazuri mnooooo, naongelea sasa ni mmoja ya mawaziri.Haki a mama tena, hausemi uongo ndugu yangu...
Ngoja nitafute kadi ya chama ikae kibindoni.
Chukua kadi, hii Nchi kweli sio ya kuikatia tamaaNajuta mie aisee kuna mtu aliniuliza una kadi ya chama kama hauna chukua nikazembea, sasa hivi yupo pazuri mnooooo, naongelea sasa ni mmoja ya mawaziri.
Najilaumu kwa uzembe wangu, hawa CCM ni wapigaji usipojiunga nao unakuwa masikini tu washenzi sana Hawa.
mweeeeeee.......ππππππ