Dkt. Mwigulu Nchemba ateua wadau watakaotoa elimu ya mlipa kodi; wamo Hamisa Mobetto, Edo Kumwembe na Mbwana Samatta

Dkt. Mwigulu Nchemba ateua wadau watakaotoa elimu ya mlipa kodi; wamo Hamisa Mobetto, Edo Kumwembe na Mbwana Samatta

Huyu lazima alikuwa anamtaman Hamisa long time imebid atengenezee mazingira ya kumpata,hatusahau ya Nyalandu na Aunt Ezekiel juzi tumeona ya Kigwa na Posh Queen yaan ni maigizo,elimu kama hio inatakiwa itolewe kuanzia shule za msingi na vyuon vijana wafunzwe uzalendo wa kulipa kodi
 
Ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni. Kuna mwenyekiti wa chama kikuu fulan cha upinzani Tanzania elimu yake ni form 4 tu tena kwa kuunga unga, lkn cha kushangaza kweny chama chake anaongoza maprofesa kibao, tena anawaburuza kichizi. Ukiwa na chelete mfukoni elimu haina maana kabisa!
Akili yako haina tofauti na Id yako
 
Nyie mnaopinga hapo juu mnajielewa? Wewe uliyesoma upo mbwinde huko na mbwana samatta au edo kumwembe nani ana fan base kubwa na anaweza kusikilizwa akihamasisha kodi?
Dah! NAwe una kipaji. Fan base! Halafu fans walipe kodi? Naamini wewe ni wale munaoshinda mitandaoni kukariri maisha ya Diamond, Hamisa, j... Hebu jizuie kuondoa matatizo kama hayo angalau uwe na matumizi hapa JF.

Nadhani umeshauliwa kwamba, hao tuwatumie kwenye matumizi ya kondom, sawa?
 
Acha kudharau na kuharibu ugali wa wenzio. Kwa taarifa yako, Misa alifaulu darasa la saba na kusoma sekondari ya serikali. Ana akili kuliko wewe, hawezi shindwa kuamwaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa kulipa kodi kwa maendeleo ya taifa lao.
Sijui huwa mnafikiria kwa kutumia makalio kwahiyo kufaulu darasa la 7 ndio kigezo cha kupewa hicho kitengo?
 
Kweli alienacho anaongezewa,Samatha atakua anafanyia hizo kampeni huko ulaya au hapa bongo?,hebu nielewesheni
 
Aiseeeeeee, elimu sahihi tuwape walimu mashuleni kupitia somo maalumu la kodi ili kila mtoto wa Tz akikuwa awe na sprit ya Kulima kodi. Lkn huo ubunifu wao mmmmmmh.
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.

=========

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo

Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.

View attachment 1826377
Yaani hawa ndiyo wataalam wa mambo ya kodi? CCM akili zao!!!!
 
Mwigulu Yuko sahihi kutafta hawa watu maarufu na influencer kutumika kutoa elimu kwa walipa Kodi, ni Rahisi ma slay queen kumwelewa mobetto kulko prof wa udsm Tena hamisa ana huge followers, samatta na yeye pia ana follower's wengi na watu humfatilia pamoja na mpira.
Tusiwe Pinga Pinga wa kila jambo
Mchukue diamond akufundishe dini kwasababu ana followers wengi instagram
 
Awamu ya tano iliku awamu ya kutumbuana...

Awamu ya sita ni awamu ya kuteuana...
 
Wakati mwingine unawaza hivi viongozi wetu wanatumia akili zao au kuna kiungo mbadala wanakitumia kufikiria tofauti na kichwa.....??
Nahisi huwa wanatumia makalio kufikiria kama waliambiwaga na yule mkuu wa dar enzi hizo
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.

=========

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo

Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.

View attachment 1826377
Kodi haina sura wala umaarufu hapo kaingia cha kike.
 
Mama tuondolee huyu waziri nadhani karukwa... na kama hutaki yatakukuta kama yule uliyempeleka Mwanza uliambiwa hadi akataka utukanwe
 
Haki a mama tena, hausemi uongo ndugu yangu...
Ngoja nitafute kadi ya chama ikae kibindoni.
Najuta mie aisee kuna mtu aliniuliza una kadi ya chama kama hauna chukua nikazembea, sasa hivi yupo pazuri mnooooo, naongelea sasa ni mmoja ya mawaziri.

Najilaumu kwa uzembe wangu, hawa CCM ni wapigaji usipojiunga nao unakuwa masikini tu washenzi sana Hawa.
 
Chukua kadi, hii Nchi kweli sio ya kuikatia tamaa
 
Back
Top Bottom