Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Tatizo wao wanadhani wao watatoa influence yenye technical skills za kodi kumbe ni normal tu sidhan kama walijiongeza kumfikiria waziri kwa udogo kiasi hiko.Nyie mnaopinga hapo juu mnajielewa? Wewe uliyesoma upo mbwinde huko na mbwana samatta au edo kumwembe nani ana fan base kubwa na anaweza kusikilizwa akihamasisha kodi?
kuna ka ukweli ndani yake....Nyie mnaopinga hapo juu mnajielewa? Wewe uliyesoma upo mbwinde huko na mbwana samatta au edo kumwembe nani ana fan base kubwa na anaweza kusikilizwa akihamasisha kodi?
Kwa hiyo tatizo ni fan base? Sasa kwann TRA wasitumie vyombo vya habari vinavyo angaliwa ma mamilioni ya watanzania kutoa hiyo elimu?Nyie mnaopinga hapo juu mnajielewa? Wewe uliyesoma upo mbwinde huko na mbwana samatta au edo kumwembe nani ana fan base kubwa na anaweza kusikilizwa akihamasisha kodi?
mimi akija hamisa nafikiria kugegedakuna ka ukweli ndani yake....
uniletee afisa wa TRA, anihimize nilipe kodi, ile nikimuangalia tu atanitia hasira
au uniletee sijui profesa mchumi, nitamwona anakula nao dili au ameshakatiwa fungu lake
Hapo tayari unalipa kodi mwenyewe bila fujo.....mimi akija hamisa nafikiria kugegeda
Ww mbwana samata yupo abroad anacheza mpira lini atashauri watu watoe kodi au ndio ataongea kwa zoom[emoji23]Nyie mnaopinga hapo juu mnajielewa? Wewe uliyesoma upo mbwinde huko na mbwana samatta au edo kumwembe nani ana fan base kubwa na anaweza kusikilizwa akihamasisha kodi?
Hapa na nakumbuka Chadema wakati wanamkaribisha Wema Sepetu, eti ana fan base,na flowers wengi atawasaidia kuongeza wanachama,kumbe ilikuwa ni mbinu ya Mwenyekiti kujipatia uroda, kupitia lasilimali za chama Walivyomalizana na Mwenyekiti,kila mtu akarudi kwao mpaka sasahivi atukuambiwa Wema aliacha wanachama wangapi pale chadema,naona na Mwiguru anafata nyayo hizo hizo,lini Msanii akamashisha mfanyabiashara kulipa kodi?Kodi inalipwa kwa mujibu wa Sheria na taratibu za nchi,sio blablaaKwa hiyo tatizo ni fan base? Sasa kwann TRA wasitumie vyombo vya habari vinavyo angaliwa ma mamilioni ya watanzania kutoa hiyo elimu?
Achana na Huyo Kihiyo BanaWw mbwana samata yupo abroad anacheza mpira lini atashauri watu watoe kodi au ndio ataongea kwa zoom[emoji23]
Hivi hawa watawala wanatuona Watanzania wote ni mbumbumbu siyo? Yaani Amisa Mobetto atoe Elimu ya kulipa Kodi kwa Watanzania? Kwa kipi anachokijua kuhusu kodi? Kwa maana hiyo maofisa wa Kodi wa TRA waliosomeshwa kwa kodi za Watanzania hawana kazi?Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.
=========
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo
Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.
View attachment 1826377
Uzuri siku hizi dunia ni darasa tosha. Hili tumeiga kutoka nchi gani miongoni mwa nchi zilizoendelea??Mwigulu Yuko sahihi kutafta hawa watu maarufu na influencer kutumika kutoa elimu kwa walipa Kodi, ni Rahisi ma slay queen kumwelewa mobetto kulko prof wa udsm Tena hamisa ana huge followers, samatta na yeye pia ana follower's wengi na watu humfatilia pamoja na mpira.
Tusiwe Pinga Pinga wa kila jambo
ππππ Mashabiki wa Hamisa wakikujibu nistueUzuri siku hizi dunia ni darasa tosha. Hili tumeiga kutoka nchi gani miongoni mwa nchi zilizoendelea??
Wanazani kulipa kodi nisawa na kuchambua tembele watu zaka na sadaka hawalipi sembuse kodiHivi kweli Hamisa akakueleze kuhusu elimu ya Mlipa kodi? Kweli?
Kwani elimu ya mlipa kodi inahitaji mvuto wa ngozi na makalio ili mtu aweze kuelewa vema?
Si kuja vijana wengi tu wamesoma Chuo cha Kodi, wapewe hilo chapuo.
Wakawaeleweshe watu mtaani na kuwajibu kwa ufasaha. Pengine makali ya kukosa ajira yangepunguzwa kidogo.
Upuuzi!.
Na alienda mjengoni kama mgeni mualikwaHii Kama ya Dr kigwangala na posh queen π€£π€£π€£
Tatizo sio kwenda mjengoni ila kutoa uambasado kwa masley queen ili wawe kiburudishoNa alienda mjengoni kama mgeni mualikwa
Ova