Dkt. Mwigulu Nchemba ateua wadau watakaotoa elimu ya mlipa kodi; wamo Hamisa Mobetto, Edo Kumwembe na Mbwana Samatta

Dkt. Mwigulu Nchemba ateua wadau watakaotoa elimu ya mlipa kodi; wamo Hamisa Mobetto, Edo Kumwembe na Mbwana Samatta

Nyie mnaopinga hapo juu mnajielewa? Wewe uliyesoma upo mbwinde huko na mbwana samatta au edo kumwembe nani ana fan base kubwa na anaweza kusikilizwa akihamasisha kodi?
Tatizo wao wanadhani wao watatoa influence yenye technical skills za kodi kumbe ni normal tu sidhan kama walijiongeza kumfikiria waziri kwa udogo kiasi hiko.
 
Nyie mnaopinga hapo juu mnajielewa? Wewe uliyesoma upo mbwinde huko na mbwana samatta au edo kumwembe nani ana fan base kubwa na anaweza kusikilizwa akihamasisha kodi?
kuna ka ukweli ndani yake....
uniletee afisa wa TRA, anihimize nilipe kodi, ile nikimuangalia tu atanitia hasira
au uniletee sijui profesa mchumi, nitamwona anakula nao dili au ameshakatiwa fungu lake
 
Nyie mnaopinga hapo juu mnajielewa? Wewe uliyesoma upo mbwinde huko na mbwana samatta au edo kumwembe nani ana fan base kubwa na anaweza kusikilizwa akihamasisha kodi?
Kwa hiyo tatizo ni fan base? Sasa kwann TRA wasitumie vyombo vya habari vinavyo angaliwa ma mamilioni ya watanzania kutoa hiyo elimu?
 
kuna ka ukweli ndani yake....
uniletee afisa wa TRA, anihimize nilipe kodi, ile nikimuangalia tu atanitia hasira
au uniletee sijui profesa mchumi, nitamwona anakula nao dili au ameshakatiwa fungu lake
mimi akija hamisa nafikiria kugegeda
 
Basi kama hamuwataki hao, turudi kwenye ubabe wa mwendazake,
kufungiwa akaunti yako, kubambikiwa kesi za uhujumu, kukung'utishwa kwenye biashara yako mchana kweupe, kutiwa ndani mzigo bandarini.
 
Nyie mnaopinga hapo juu mnajielewa? Wewe uliyesoma upo mbwinde huko na mbwana samatta au edo kumwembe nani ana fan base kubwa na anaweza kusikilizwa akihamasisha kodi?
Ww mbwana samata yupo abroad anacheza mpira lini atashauri watu watoe kodi au ndio ataongea kwa zoom[emoji23]
 
Kwa hiyo tatizo ni fan base? Sasa kwann TRA wasitumie vyombo vya habari vinavyo angaliwa ma mamilioni ya watanzania kutoa hiyo elimu?
Hapa na nakumbuka Chadema wakati wanamkaribisha Wema Sepetu, eti ana fan base,na flowers wengi atawasaidia kuongeza wanachama,kumbe ilikuwa ni mbinu ya Mwenyekiti kujipatia uroda, kupitia lasilimali za chama Walivyomalizana na Mwenyekiti,kila mtu akarudi kwao mpaka sasahivi atukuambiwa Wema aliacha wanachama wangapi pale chadema,naona na Mwiguru anafata nyayo hizo hizo,lini Msanii akamashisha mfanyabiashara kulipa kodi?Kodi inalipwa kwa mujibu wa Sheria na taratibu za nchi,sio blablaa
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.

=========

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo

Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.

View attachment 1826377
Hivi hawa watawala wanatuona Watanzania wote ni mbumbumbu siyo? Yaani Amisa Mobetto atoe Elimu ya kulipa Kodi kwa Watanzania? Kwa kipi anachokijua kuhusu kodi? Kwa maana hiyo maofisa wa Kodi wa TRA waliosomeshwa kwa kodi za Watanzania hawana kazi?
 
Mwigulu Yuko sahihi kutafta hawa watu maarufu na influencer kutumika kutoa elimu kwa walipa Kodi, ni Rahisi ma slay queen kumwelewa mobetto kulko prof wa udsm Tena hamisa ana huge followers, samatta na yeye pia ana follower's wengi na watu humfatilia pamoja na mpira.
Tusiwe Pinga Pinga wa kila jambo
Uzuri siku hizi dunia ni darasa tosha. Hili tumeiga kutoka nchi gani miongoni mwa nchi zilizoendelea??
 
Nchi hii imeishiwa wasomi hadi wadangaji watoe elimu ya kodi? au mnamaanisha maonyesho ya kutoa kodi....
 
Kuna vijana wamemaliza chuo cha kodi ITA, wengine IFM wamesomea kodi miaka 3 wapo tu mtaani wanazurula
 
Hivi kweli Hamisa akakueleze kuhusu elimu ya Mlipa kodi? Kweli?

Kwani elimu ya mlipa kodi inahitaji mvuto wa ngozi na makalio ili mtu aweze kuelewa vema?

Si kuja vijana wengi tu wamesoma Chuo cha Kodi, wapewe hilo chapuo.

Wakawaeleweshe watu mtaani na kuwajibu kwa ufasaha. Pengine makali ya kukosa ajira yangepunguzwa kidogo.

Upuuzi!.
Wanazani kulipa kodi nisawa na kuchambua tembele watu zaka na sadaka hawalipi sembuse kodi
 
Yeye mwenyewe waziri anatakiwa kwenda kukutana na mtaalamu wa kodi TRA apewe ABC za hesabu za kodi mbali mbali kwanza, allowable expenditure (including fees) zina influence vipi kodi, umuhimu wa kutunza kumbukumbu za matumizi (including fees receipts) kama evidence and so forth.

Halafu aone upuuzi wake ulipo kwenye kufanya hesabu za income (suppose rent is income taxable) na wazo lake kulipia tozo za nyumba kupitia luku wakati risiti wanakaa nazo wapangaji.

Heck ata system yenyewe ya kukusanya hiyo kodi TANESCO bado awajaindaa.

Sasa mtu ambae yeye mwenyewe elimu ya kodi hana, kwanini tushangae anapoteua watu ambao cluesless kwenye maswala ya kodi kama wahamasishaji.

Mambo mengine yanawezekana Tanzania tu.
 
Back
Top Bottom