Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida amesema
Pia soma > Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote
Kuna watu wanataka kuwatumia vijana wa Kitanzania kwa maslahi yao binafsi. Kama serikali ambayo tuna wajibu wa kulinda nchi yetu, tuna wajibu wa kulinda maisha ya ya Watanzania, tuna wajibu wa kulinda rasilimali za Watanzania, hatuwezi kupuuza jambo la aina hiyo.
Kuna wengine ambao tumeshawakamata. Wapo ambao wao wanalipwa, wanataka wawandikishe vijana wa Kitanzania wawapeleke barabarani na wameleta na watu wa kuwapiga vijana wa Kitanzania ili baadaye waichafue nchi yetu.