Dkt. Mwigulu, ni nani mwenye kumiliki app za mikopo ya online? Je, wamesajiliwa kufanya hii biashara kihalali?

Kwanini mnakopa huko? Ok kama ni vita basi:

Gen Z ya Tanzania fanyeni uhamasishaji wa watu kukopa na kila anayekopa asilipe, mwenye mkopo asilipe. Isambazwe kwenye mitandao ya jamii, sms, vijarida n.k

"KIMBIZA RIBA UMIZA, USILIPE MKOPO, KOPA USILIPE.
 
Hii kampeni itakuwa kiboko
 
Sidhani kama kuna nchi nyingine ukiondoa Tanzania kuna viongozi wanaweza kubariki mikopo yenye riba ya 33% - 50% kwa siku 5, 6 au 7.
Kama kuna nchi nyingine Mh. Dr. Mwigulu Nchemba aje atuambie.
Bunge liligusia hii mikopo lakini naona limeufyata.
Kama serikali imeshindwa kutoa suluhisho vijana kopeni na msilipe
Sometimes nahisi huenda Mama nae ana share kwenye haya makampuni na ndio maana hakuna hatua serious zinachochukuliwa.
 
Sometimes nahisi huenda Mama wa nae ana share kwenye haya makampuni na ndio maana hakuna hatua serious zinachochukuliwa.
Nawaza leo nikope halafu kwenye wadhamini niweke namba ya gavana wa BOT na Rais Samia, kwakuwa wakopeshaji hawakagui na kuwasiliana na wadhamini. Siku ya tano nazima simu siku ya 6 saa mbili direct watawapigia simu wadhamini kwa kuwafokea. Hapo ndipo utakuwa mwisho wa Hawa wakopeshaji washenzi.
Hili wazo limenijia asubh
 
Ongeza na namba ya Mwigulu kabisa.
 
Back
Top Bottom