Dkt Mwigulu sio kabisa!

Hiyo ndio representative sample ya Ph.D za bongo!!! Inaelekea wengi wao wanaamini NYUNGU ndio maana nchi inakwama!!!
Hivi kuamini katika kutatuliwa shida zetu na watu walionje ya mipaka yetu ndio akili? Ugonjwa watengeneze wao , vipimo watengeneze wao , chanjo watengeneze wao , mpaka dawa watengeneze wao , sie tukae tu , ndio akili hiyo ? Kweli watanzania wana safari ndefu ya kujikomboa kifikra.
 
Kwa hiyo nani karogwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu acha kupoteza muda wako hiyo CCM yenu ndivyo ilivyo ,Mwigulu aliwaambia msimfuate kwenye kina kirefu ,matokeo yake mnayaona ,Mbunge wa Iramba Magharibi atachaguliwa na Mwenyekiti wenu! Kama hali ya sasa itaendelea kama ilivyo!
Kweli kabisa! Wengi watahama CCM this yerah!
 
Hilo liko wazi, kwa kizazi chao ndani ya CCM ni yeye tu kwa sasa, hakuna asojua wale wengine walofukuzwa uwaziri ni miungoni mwa huyo mumuitaye "kigogo" pamoja na wale makahaba na sura mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tayari Uzi huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mwigulu HAFAI. Ni muhuni tu.
 
Hilo liko wazi, kwa kizazi chao ndani ya CCM ni yeye tu kwa sasa, hakuna asojua wale wengine walofukuzwa uwaziri ni miungoni mwa huyo mumuitaye "kigogo" pamoja na wale makahaba na sura mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inaweza kuwa kweli kabisa! Si unaona wale wote waliojarib na mkulu mwaka 2015 wamepotea. May be Daktari Hussein Mwinyi ndiyo anaweza kuwa tishio kwa Mwigulu.
 
[emoji706][emoji706]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujikomboa kifikra ni kuruhusu uhuru wa kufanya siasa ili kupata mawazo mbadala
 
Kwa mujibu wa mtoa taarifa huyo mganga hana hata namba ya simu, hajui kusoma wala kuandika, lakini pia hata kiswahili hawezi kuongea vizuri.
Hawezi kutoa namba kwa sababu anajua ccm wengine wataenda kuvuruga njia za mwigulu kupenya kupitia Moshi kama wa Ruangwa ambao huenda wakautuma tena baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…