Dkt Mwigulu sio kabisa!

Dkt Mwigulu sio kabisa!

Siku chache kabla hajateuliwa tena alikuwa jimboni na akakutana na Mzee mmoja wa mambo fulani kule kijijini kwao Makunda na Ng'anguli (jina la Mzee huyo nalihifadhi).

Akaambiwa asiwe na wasiwasi kwani atarudi tu kwenye ukubwa na akamwambia apambane vema na maadui zake.

Ni kweli baada ya hapo akaanza kupambana na ikafikia hadi kuwaambia wasimfuate fuate kwani yeye ni mamba aliyeko kwenye kina kirefu.

Na kweli akaendelea na mapambano makali mpaka ikafikia hatua akaendelea ku-air kwa sauti ya juu interest za Mkulu na akasikika.

Huyo Mzee ameendelea kusema kuwa lazima atahakikisha Dkt. Mwigulu anatimiza malengo yake. Ndugu wa karibu wa huyo Mzee anadai watu wasubirie wataona Dkt. Mwigulu atakavyoshangaza dunia.
Na wewe ukaamini hayo maneno juu ya Mwigulu Nchemba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh basi nipe maelekezo jinsi ya kumfikia niko serious mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fika Iramba, shukia sehemu inaitwa Kizaga barabara Kuu ya kuelekea Mwanza kama unatoka Singida Mjini halafu nenda kijiji kinaitwa Simbalungwala (hapa ni kijijini kwetu mimi). Hapo waulize watu kwenda Kijiji cha Makunda (kwa kina Dkt Mwigulu) then hapo ukifika uliza yule Mganga Mpiga Ramli wa Mpakani kati ya Makunda na Ng'anguli utaelekezwa tu na kumpata bila shaka yeyote.
 
Ndugu shukrani

Dookita kuwa na mashonde pahala pa ubongo ni maajabu na dunia inaendelea kumshangaa
 
Siku chache kabla hajateuliwa tena alikuwa jimboni na akakutana na Mzee mmoja wa mambo fulani kule kijijini kwao Makunda na Ng'anguli (jina la Mzee huyo nalihifadhi).

Akaambiwa asiwe na wasiwasi kwani atarudi tu kwenye ukubwa na akamwambia apambane vema na maadui zake.

Ni kweli baada ya hapo akaanza kupambana na ikafikia hadi kuwaambia wasimfuate fuate kwani yeye ni mamba aliyeko kwenye kina kirefu.

Na kweli akaendelea na mapambano makali mpaka ikafikia hatua akaendelea ku-air kwa sauti ya juu interest za Mkulu na akasikika.

Huyo Mzee ameendelea kusema kuwa lazima atahakikisha Dkt. Mwigulu anatimiza malengo yake. Ndugu wa karibu wa huyo Mzee anadai watu wasubirie wataona Dkt. Mwigulu atakavyoshangaza dunia.
Wewe ni chitombwafu
 
Mwigulu ni mpambanaji hasubiri kubebwa lakini pia ana uwezo mkubwa wa kiuongozi.
Ni kijana mwanaharakati mzalendo ambaye hapotezi focus yake kirahisi.
Tunampongeza kurudi barazani na kuaminiwa tena na mh Rais kwa niaba ya Watanzania.
Viva TANZANIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa amerudi wasiojulikana watashamiri soon!
 
Back
Top Bottom