Dkt. Mwigulu: TSh. Bilioni 17.42 zakusanywa kwenye betting Tanzania

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2025, Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania imekusanya jumla ya Tsh. bilioni 17.42, sawa na asilimia 70 ya lengo la mwaka na imefanya programu tatu za kuelimisha jamii juu ya michezo ya kubahatisha, faida na hasara pamoja na dhana nzima ya kucheza kwa kiasi (responsible gaming).

Akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 Bungeni Jijini Dodoma leo June 04,2025, Mwigulu amesema "Kwa mwaka 2024/25, Bodi ilipanga kutoa leseni 12,456 ikijumuisha leseni mpya 1,126 na kuhuisha leseni 11,330, kufanya kaguzi 12 kwa kuzingatia vihatarishi, kutekeleza operesheni nne za kudhibiti michezo haramu ya kubahatisha, kukusanya mapato yatokanayo na michezo ya kubahatisha ya jumla ya shilingi bilioni 24.89, kuendelea kuelimisha jamii kuhusu athari hasi za michezo ya kubahatisha na kusimamia uendeshaji wa Bahati Nasibu ya Taifa"

"Hadi kufikia April 2025, Bodi imetoa leseni 8,466, sawa na 67.9% ya lengo ikijumuisha leseni mpya 2,008 na zilizohuishwa 6,458, imefanya kaguzi tisa katika michezo ya kasino, kubashiri matokeo na mashine dubwi (Slot Machines), sawa na 75% ya lengo na imefanya operesheni tatu za kudhibiti michezo haramu ya kubahatisha, sawa na 75% ya lengo.
 
Sio suala la kujivunia hiyo ni isahara la umasikini wa kitanzania hizo shilling bn 17 ni kutoka kwa vijana wa Tanzania masikini wasio kua na sajira wengine hawana elimu, zinaenda hazina kuu kununua V8 za wa bunge na machawa.......
 
Reminding you hizo ni kodi tuambazo makampuji ya kucheza hizo betting wameshachezesha hesabu hapo sasa actual figures nadhani zingewekwa tungeshikwa na mshangao wote..
 
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2025, Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania imekusanya jumla ya Tsh. bilioni 17.42, sawa na asilimia 70 ya lengo la mwaka na imefanya programu tatu za kuelimisha jamii juu ya michezo ya kubahatisha, faida na hasara pamoja na dhana nzima ya kucheza kwa kiasi (responsible gaming).

Akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 Bungeni Jijini Dodoma leo June 04,2025, Mwigulu amesema "Kwa mwaka 2024/25, Bodi ilipanga kutoa leseni 12,456 ikijumuisha leseni mpya 1,126 na kuhuisha leseni 11,330, kufanya kaguzi 12 kwa kuzingatia vihatarishi, kutekeleza operesheni nne za kudhibiti michezo haramu ya kubahatisha, kukusanya mapato yatokanayo na michezo ya kubahatisha ya jumla ya shilingi bilioni 24.89, kuendelea kuelimisha jamii kuhusu athari hasi za michezo ya kubahatisha na kusimamia uendeshaji wa Bahati Nasibu ya Taifa"

"Hadi kufikia April 2025, Bodi imetoa leseni 8,466, sawa na 67.9% ya lengo ikijumuisha leseni mpya 2,008 na zilizohuishwa 6,458, imefanya kaguzi tisa katika michezo ya kasino, kubashiri matokeo na mashine dubwi (Slot Machines), sawa na 75% ya lengo na imefanya operesheni tatu za kudhibiti michezo haramu ya kubahatisha, sawa na 75% ya lengo.
Maeneo yakujidai ya Ponjoro
 
Sio suala la kujivunia hiyo ni isahara la umasikini wa kitanzania hizo shilling bn 17 ni kutoka kwa vijana wa Tanzania masikini wasio kua na sajira wengine hawana elimu, zinaenda hazina kuu kununua V8 za wa bunge na machawa.......
Zina utofauti gani na tunanyonywa mishahara kwa kazi ngumu za kuhudumia watu?
 
Back
Top Bottom