johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unajua watu wanasema huyu jamaa ni kichwa,hivyo kwenye hili kaweza kusoma alama za nyakati Kwa haraka na kuibukiamo kwenye kupanda kimbinyiko couch Kwa safari ya pamoja yenye lengo Moja🤔Baada ya kuona boss kapandishwa kimbinyiko akili ndo inakaa sawa siyo? Malkia kajaza ukuta dhahabu lakin kawapandisha kimbinyiko nyie maskini kila mtu na viete yake
Acha uongo wewe, nssf wanunue chai kwako, nimefanya field nssf mwanza chai wanajinunuliaTanesco Dodoma na NSSF dom hapo kwa siku wanatumia chai ya laki 4 kwa asubuhi moja kila mmoja wao. Jamani nyie nyie nilikuwa napeleka hiyo chai na vitafunwa nabaki kinywa wazi. Huku nilipo shule ya sekondari chai ya elfu 10 waalimu wanaipigania ngumi
We ni mwalimu labda,ofisi zote za umma chaii ipoLini chai na vitafunwa vilikuwepo kwa watumishi, labda nyie mnaotumia viieite....jibaneni wenyewe huko, wengine hiyo chai na vitafunwa hatujawahi kuviona na hizo safari za ndani na nje mnazo nyie wapanda viieite.
Acha uongo weweeee. Hiv unaelewa chai mtu atoke akaitafutie wap? Sabasaba au nyerere Square arud aende tena. Chai gan ya lak nne wanayotumia eeeh?Tanesco Dodoma na NSSF dom hapo kwa siku wanatumia chai ya laki 4 kwa asubuhi moja kila mmoja wao. Jamani nyie nyie nilikuwa napeleka hiyo chai na vitafunwa nabaki kinywa wazi. Huku nilipo shule ya sekondari chai ya elfu 10 waalimu wanaipigania ngumi
Kilichowakuta London kinarasimishwa kuwapunguzia machungu waliopigwa tukio 😁Waziri wa Fedha Dr Mwigullu ameagiza maafisa maduhuli kuanza kubana Matumizi kwenye Chai Vitafunwa Safari ndani na nje ya nchi na Semina.
Kadhalika viongozi wanapokuwa kwenye safari yenye lengo moja basi watumie usafiri wa pamoja badala ya kila mmoja kwenda na gari yake
Source: TBC
Tumewaambia toka siku nyingi, CCM ni janga la taifa. Hayo mataga toka lini yakawa na akili? Si ajabu waliokuwa wanatutukana wakitetea tozo kujenga vituo eti vya afya nao ukawaona humu wakitoa pongezi.Haya mataga mliokuwa mnatetea Tozo inabidi tena mbadili gia angani muanze kupongeza kwa haya mabadiliko madogo ya tozo.
Ni Yeye atashukia KIAHaya mataga mliokuwa mnatetea Tozo inabidi tena mbadili gia angani muanze kupongeza kwa haya mabadiliko madogo sana ya tozo.