The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
"Napenda nichukue fursa hii kutoa wito kwa ndugu zetu nyote mliopo hapa, wananchi wote, wanaCCM, wapenzi, wakereketwa kuna jambo moja bado hatujalifanya vizuri nalo ni kujitokeza kwenda kuga kura siku yenyewe ya uchaguzi, tumefanya uandikishaji haitoshi sasa tuna kazi ya kwenda kuwatoa watu wakapige kura. Mara zote tume ya uchaguzi inatuambia kwamba walioandikishwa idadi fulani lakini waliopiga kura asilimia 60, 70, 80 haijawahi asilimia mia."
Dkt Mwinyi ameyasema hayo wakati wa hafla ya Mapokezi ya mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Kiwani, Kusini Pemba
Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025