Pre GE2025 Dkt. Nchimbi aonya viongozi wa CCM kuwavaa wa Serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa mbona Kila mtu anakuja na yake,kwa sasa kinana atakua amepata mwenzie kidogo mana alikua Kama vile haelewi.
 
Nimeona DAB leo anamdhalilisha DED wa Pangani kwa Kweli haijakaa Poa kabisa hata kama nikutafuta Publicity ile imekuwa too Much ni Ushamba fulani ivi
Hakuna mtu alodhalilishwa acha uongo!
 
Hii ni kauli ya kijinga sana kutoka kwa katibu mkuu wa mchongo ..wananchi wwnataka matokeo na sio porojo za hapa na pale
 
First shot fired.

Makonda take that.

Is Oysterbay in the houseee?

Mimi si CCM ila nimefurahi tu Makonda kapigiwa mstari.

Hii ndiyo tofauti ya Kolomije na Oysterbay.

Pascal Mayalla
 
Kupotezeana muda tu, wanaotukana wafanyakazi na kutoa maagizo kwa viongozi wa serikali wanajulikana, waitane waonyane maisha yaendelee, msituchoshe
 
Naona kuna mtu Ukuu wa Mkoa unamrudia
 
Naona kuna mtu Ukuu wa Mkoa unamrudia
Makonda ni aset kuliko Nchimbi! Jidanganye Makonda watu wa kawaida wanamuona mzuri ila wale maadui zake tokea mwanzo wakiongozwa na team Msoga wanamuona mbaya!
 
CCM sasa hivi haina mwelekeo kabisa. Imerudi ile ya sadaka lau.
 
Kubembelezana kunalinda mfumo wa Unyonyaji!!!
Kukataa kuzodoana kijinga hakuna maana tubembelezane.

Mtu anaweza kukataa kuzodoana kijinga na kukataa kubembelezana vilevile.

Tatizo Watanzania wengi kama wewe hamjui nuance. For you it is "all, or nothing at all".

For you, it is "kuzodoana kijinga, au kubembelezana".

That is a false dichotomy.

Dr. Nchimbi siwezi kusema namkubali kila kitu, ila hapa alipoanzia kwa kuleta nuance, nimemuelewa sana.

Najua Watanzania wengi kama wewe bado mna miss zile show za kibabe za kusulubu watu kwa style ya "nitumbue nisitumbueee..." halafu mnajibu "tumbuaaaa...".

Ule ujinga umewalevya sana.
 

Hapo kudai, "sisi ndio tulichaguliwa ba wananchi", ni uwongo. Hakukuwa na uchaguzi 2020. Kulikuwa na uhuni wa kiwango cha juu.
 
DAB !
Duh 🙄
Kweli sintofahamu inaonekana dhahir !
Ngoja Tusubiri I
 
Yule ni wakumpuuza,hakuna kumjibu wala kusoma habari..CDM acheni kumjibu chochote huyo bwana Bashite,mpuuzeni

Kama kuna sehemu anapotosha,mpeni MMM,anyooroshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…