Dkt. Nchimbi ashiriki mazishi ya mama wa Aboubakary Liongo

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 01 Octoba, 2024 ameshiriki mazishi ya Mama wa Aboubakary Liongo ambaye yeye ni Afisa Msaidizi Idara ya Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM aliyefariki jana na kuzikwa Leo kwenye Makaburi ya kisutu.

Katibu Mkuu ameongozana na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi (Gavu) pamoja na Waandishi wa Habari mbalimbali akiwemo Tido Mhando, Issa Michuzi pamoja na Viongozi wengine wa Chama na serikali.

20241001_225045.jpg
20241001_225047.jpg
20241001_225049.jpg
20241001_225051.jpg
 
Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 01 Octoba, 2024 ameshiriki mazishi ya Mama wa Aboubakary Liongo ambaye yeye ni Afisa Msaidizi Idara ya Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM aliyefariki jana na kuzikwa Leo kwenye Makaburi ya kisutu.

Katibu Mkuu ameongozana na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi (Gavu) pamoja na Waandishi wa Habari mbalimbali akiwemo Tido Mhando, Issa Michuzi pamoja na Viongozi wengine wa Chama na serikali.

View attachment 3112553View attachment 3112554View attachment 3112555View attachment 3112556
Huyu si ndio alikua msemaji wa Edward Ngoyai Lowassa au nimekosea!?.
 
Uko Sahihi kabisa ujakosea, Msemaji na Alikuwa Mtangazaji wa Redio TANZANIA, Baadaye Akaenda Redio Docho Velo Ujerumani, halafu Radio One Akafanya KAZI, Akaenda Kwa Edward lowassa Naye kafanya KAZI Naye, Sasa hivi Yupo na Katibu Mwenezi wa CCM Amos Makalla
 
Aliondoka na Edo,akarudi na Edo!!
 
Back
Top Bottom