Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tuna omba orodha na majina yao, nyie UWT ni wajinga sn hata mkiambiwa ameajiri 1,700,000 mtaishia kupiga makofi na kushangili bila kufanya reasoning wala utafiti
Wewe fala nini? Nenda Polisi au Wizara ya mambo ya ndani kaombe hiyo orodha.

Ajira sio zawadi kwamba unaajiriwa tuu au zinatajwa tuu.
 
Wacha maneno kazi ndio zinaongea

View: https://www.instagram.com/p/C6oJPd8q7Wm/?igsh=MXVqcDBhMXhnN3U2aQ==
Mwisho tuko nyuma sana kulinganisha na nani? Ulitaka aliyefanya vizuri tumzomee tusimsifie au?
 
Taifa linajisifia Rais kusaidia NIDA kutoa ID haraka jambo ambalo linapaswa kufanywa na CEO
 
Wacha maneno kazi ndio zinaongea

View: https://www.instagram.com/p/C6oJPd8q7Wm/?igsh=MXVqcDBhMXhnN3U2aQ==
Mwisho tuko nyuma sana kulinganisha na nani? Ulitaka aliyefanya vizuri tumzomee tusimsifie au?
Mbona nimesema kuwa ukilinganisha na umri tuliyo nao wa zaidi ya miaka 60, na nimeelezaa kuwa hizi sifa kwa majukumu ya kawaida tu ya serikali zinatufanya tusione kuwa tupo nyuma kimaendeleo. Kama majukumu ya kawaida tu ya serikali tunasifiana hivi kana kwamba tumetoka kupata uhuru miaka 10 tu nyuma unadhani tutaweza mambo makubwa zaidi ya kuishia kuishia kufurahia kuletewa maji baada ya miaka yote kupita?
 
Uchawa ni kazi kwelikweli inabidi ujitoe ufahamau ulipuke tu ujinga wako.
 
Kumbuka mkuu hiyo ni serikali ambapo isipofanya hayo inalaumiwa maana ndio majukumu yake hayo, sasa sijajua kipi kinachokufanya wewe kuja kusifia matekelezo ya majukumu yake serikali kana kwamba kuna kitu cha ajabu sana kilichafanyika.
Kwani Serikali ngapi zimepita na hazikufanya zaidi ya kuvurunda ? Uliwahi sikia Ajira awamu ya 5? Mnajitoa ufahamu si ndio? 🀣🀣🀣🀣
 
Kama mlikuwa mnachagua watu wabovu na mnampiga majungu Samia aliyeonesha maana ya Maendeleo tuwasaidiaje?

Samia hajui majungu Wala maneno mengi yeye anajua kazi tuu.

Miaka 3 Vyuo 29 Vimekamilika

Vyuo 65 vinaendelea na ujenzi πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C6qinxVL-0K/?igsh=ZWhmbG5kdDVlbnFi
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†hongera sana mkuu, hakika ubongo wako umejaa vitu
Ni zaidi ya vitu yaani Madini tupu πŸ‘‡πŸ‘‡

Hospitals zenyewe ndio kama hizi πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…