Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna ajabu au inapongezwa? Ulitaka itukanwe au? 😁😁

Kazi nzuri ya Samia Iko appreciated na Wananchi kama hivi πŸ‘‡

View: https://twitter.com/UhondoTV/status/1793326527922274512?t=fzp-gZvTYNMkksA8oBWAyw&s=19
Kazi nzuri kvp? Nachojua hayo ni majukumu ya kawaida ya serikali, unachofanya wewe na wengineo ni kumbebesha sifa Samia kwa serikali kutekeleza majukumu yake ya kawaida tu. Ujue nakushangaa sana yani serikali ikipeleka maji sehemu au kujenga shule hiyo inakuwa habari kubwa ya kumpamba Samia aonekana kufanya kitu cha kipekee au cha ajabu? Hivi ngozi nyeusi sijui tuna matatizo gani!
 
Uwanja wa ndege kujengwa sumbawanga

Wa Nini?

Watu wanasafiri Kwa ungo kuruka Toka nyumbani na kutua .Uwanja wa ndege wa Nini? Watu wa Sumbawanga na uwanja wa ndege wapi na wapi

Ni upotezaji Pesa tu .Wana ndege zao za ungo hawahitaji za ATCL au zozote
 
Punguani wewe nyumbu
 
Yakiwa majukumu ya kawaida ndio inakuwa kazi mbaya au? Acha ujinga

Kazi zinaongea πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/AnnaSarungi/status/1794267298301370700?t=Te6wSNSwmqqpUOyboFbfJg&s=19
 
Yakiwa majukumu ya kawaida ndio inakuwa kazi mbaya au? Acha ujinga

Kazi zinaongea πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/AnnaSarungi/status/1794267298301370700?t=Te6wSNSwmqqpUOyboFbfJg&s=19
Sasa unataka tumuone Samia ni bora kuliko wengine kwa kwa serikali kufanya majukumu ya kawaida ya serikali kama yalivofanywa kwa awamu zilizotangulia?

Kifupi hakuna cha ziada hadi utujazie mipicha et serikali imepeleka maji kijiji fulani(huku mjini bado maji shida) au sijui kujenga hospitali, sioni haja ya kufanya hivyo.
 
Ndio ni Bora kuliko wengine maana amefanya zaidi ya wengine
 
Ndio ni Bora kuliko wengine maana amefanya zaidi ya wengine
Kufanya zaidi ya wengine ulishasema mwenyewe kuwa kila rais anafanya zaidi ya mtangulizi wake, sasa cha ajabu kipi hadi utujazie mipicha humu ya majukumu ya serikali? Mara zote nakwambia kuwa unachofanya wewe ni kumbebesha sifa Samia kwa serikali kutekeleza majukumu yake ya kawaida na yale mapungufu unawabebesha wasaidizi wake tu.

Sasa kwa stlye hiyo huwezi kutuambia Samia ni bora kuliko wengine ni kutulaghai hapa.
 
Ndio tunampa maua yake Sasa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C7jA5xQIfkz/?igsh=em5rODU5aWU0cXlk
 
Mimi ningefanya maradufu kwa sababu ningezuia wapigaji na nisingezurura ovyo kwa hiyo ningeokoa fedha nyingi ukichanganya na zile za magoli
 
Mimi ningefanya maradufu kwa sababu ningezuia wapigaji na nisingezurura ovyo kwa hiyo ningeokoa fedha nyingi ukichanganya na zile za magoli
China na Marekelani Bado hawajazuia Upigaji ndio uje kuwa wewe mbumbumbu wa gomz huko? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…