Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
85% ya hayo uliyiyata hapo juu ni Miradi iliyoanzishwa na Magufuli.....
Kuanzia Hospital,Shule,Mahakama,Bandari hadi Viwanja vya ndege ni miradi ambayo ilisha sainiwa na kuanza katika awamu ya Magufuli.
 
Ameshindwa kuwalipa wazabuni
Anakopa mpaka anadhalilika

Huku street vijana wamekata tamaa mpaka wachoms picha yake
 
85% ya hayo uliyiyata hapo juu ni Miradi iliyoanzishwa na Magufuli.....
Kuanzia Hospital,Shule,Mahakama,Bandari hadi Viwanja vya ndege ni miradi ambayo ilisha sainiwa na kuanza katika awamu ya Magufuli.
Au siyo?Acha kuropoka wewe Sukuma gang,sijaweka mradi hata mmja wa Mwendazake au umeona nimetaja Sgr na bwawa hapo?

Miradi aliyoanzisha Magufuli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/s9KmFmsFr5c?si=5U2PjvNaFjNEc08q
My Take: Bado hamjasema Hadi mseme.πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/TZMsemajiMkuu/status/1810568327422444000?t=0KmrDjQ8NuTTHnDfk4wtyQ&s=19
 
  • Ujenzi na Ukarabati wa viwanja vya ndege
  • Ujenzi wa hospitali za Wilaya
  • Ujenzi wa stendi za MABASI ya mikoani.
  • Ujenzi na ukarabati shule za Advance
  • Upanuzi wa Bandari za Bahari
  • Upanuzi wa Bandari za Ziwani
  • Ujenzi wa Bandari kavu I.e Kwara
  • Ujenzi wa One stop border posts katika mipaka
  • Ujenzi wa Mahakama za Wilaya nchi nzima.
  • Ujenzi wa Ofisi za NIDA katika kila Wilaya
  • Ujenzi wa Mabwawa ya kufua Umeme Rufiji na kule Kagera.
  • Ujenzi wa vituo vya kuuzia madini kila mkoa.
  • Ujenzi wa Mwendokasi Phase ya 2 ,3 na 4
  • Masoko makubwa ya mikoa
  • Masoko makubwa jijini Dar.
  • Madaraja makubwa ya Kigongo busisi,Wami na Tanzanite.
  • Flyovers zote
  • Vivuko vya barabarani pale Kawe bondeni,Buguruni na Furahisha.
  • Meli
  • Vivuko vya Ziwani na mtoni.
Hiyo miradi yote hapo juu -ilianzishwa na Magufuri na ilishatiwa saini....
Wewe Kejeli na hata utusi...lakini huo ndiyo ukweli...

Wakati wewe unakaa na kuishia kukaa kwenye Kompyuta,siye tunakuwa site....
 
Sema Kwakuwa ujenzi siyo fani yako sishangai kama haujui hivyo....

Taja 5 major construction projects ambazo ni mawazo ya awamu hii na imeanza utekelezaji....mitano tu.
 
Sema Kwakuwa ujenzi siyo fani yako sishangai kama haujui hivyo....

Taja 5 major construction projects ambazo ni mawazo ya awamu hii na imeanza utekelezaji....mitano tu.
Nawewe nitajie 5 Mojor construction ambazo ni mawazo ya awamu ya 5..

Pili mawazo sio hela, Nyerere alianza kuwaza tangu anapata uhuru ila vitu ndio vinafanyika Sasa hivi.

Mwisho aliyekwambia sio fani yangu ni nani? Kwenye List hapo Juu umeona ni miradi ya ujenzi pekee?
 
Okie kabla ya Magufuli hajawa Rais ,hayo yote uliyotaja hayakuwepo?

Nitajie mmja tuu wa hiyo miradi ambayo ilitiwa saini na uweke ushahidi hapa.

Mwisho Kwa nini haikufanyika awamu ya 5 badala yake ije ifanyike awamu ya 6? Kwa nini Bwawa la Nyerere halikujengwa awamu ya Mwalimu likaja kujengwa awamu ya 5 na 6? Leta majibu
 
Mkuu nimekutajia miradi zaidi ya ishirini....siyo mawazo bali ilisainiwa na kuanza kutekelezwa....

Nimekwambia taja miradi 5 mikubwa ya ujenzi ambayo imekuwa initiated na awamu hii na kuanza ujenzi....mitano tu....
 
Mkuu nimekutajia miradi zaidi ya ishirini....siyo mawazo bali ilisainiwa na kuanza kutekelezwa....

Nimekwambia taja miradi 5 mikubwa ya ujenzi ambayo imekuwa initiated na awamu hii na kuanza ujenzi....mitano tu....
Wewe ni mbumbumbu eti? Nitajie mradi specific uliosainiwa awamu ya 5 na inatekelezwa awamu ya 6?

Sitaki Lugha za Jumla Jumla maana kama ni Lugha za Jumla, nakuuliza Magufuli alikuta hospital za Wilaya hazijengwi au alikiuta Nchi hii Haina Hospital?
 
Miradi yote imeanza kujengwa na awamu ya tano....
Yani hata mjamaa achukiwe kiasi gani lakini alitenda kwa vitendo....siyo lazima mpaka mtu...
Hata hilo Jiji la Dodoma unalo lisifia kila siku Magufuli ndiyo kaanzisha ujenzi.
Mama kaikutana apongezwe kwa kuimalizia.
 
Mada yangu umeielewa? Ndio maana umeshindwa kujibu maswali yangu hapo Juu unarukia rukia ujinga wako,achukiwe Kwa Ajili ya nini? πŸ˜‚πŸ˜‚

Rudi upya kusoma mada uangu,sijaweka mradi hata mmja wa awamu ya 5,yote ni awamu ya 6 kama hivi πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…