The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Ni hospital ya Rufaa ya Kanda ya Ziwa lakini ni ya Kanisa.Kulikuwa na ile hospital kongwe inaitwa Bugando ipo mlimani pale Mwanza mjini.
Ni maendeleo makubwa ya kivitendo.
Hospital ya Rufaa ya Kanda ya Serikali ipo Chato