Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu huyu nchimbi Magufuri alimweka pembeni, nadhani kwa hayahaya mambo ya uongo uongo!
Kipindi cha JPM huko kwetu kuna tank kubwa la maji lilikuwa linajengwa kwa kasi ya ajabu!, tangu afariki kazi imesimama, leo hii mnatoa takwimu za ovyo kabisa, machawa mnashida
 
inawezekana hata huyu katibu mkubwa wa ccm hajui maana ya miujiza
 
Kwa nini halikumalizika Kwa Kasi hiyo hiyo ya ajabu? Mwendazake alimuachia nani amalizie? πŸ˜†πŸ˜†

Mwisho kwani miradi ya serikali ni Hilo tenki tuu? Hujaona vingine vilivyojemgwa na kumalizika Kwa Kasi ya ajabu huko kwenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…