Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Maono ya Rais 👇👇siku hizi hakuna kutaja jina la chama Tena Wala ilani.
Pongezi kwa mwendazake kwa kuasisi wapiga pambio za sifa ni "wanarara nazo mbere kwa mbere". Unamsifia kiongozi mpaka anabubujikwa na machozi.
Ficha ujinga wako
Ujinga gani hapo ambao noufiche?Ficha ujinga wako
Huo miradi ni fedha za watanganyika, sio hisani kutoka kwa mtuUjinga gani hapo ambao noufiche?
Ila ni maono na kazi ya Samia na ki mantiki ni hisani angeweza acha kutafuta hizo Fedha maana hazikujileta.Huo miradi ni fedha za watanganyika, sio hisani kutoka kwa mtu