Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
siku hizi hakuna kutaja jina la chama Tena Wala ilani.
Pongezi kwa mwendazake kwa kuasisi wapiga pambio za sifa ni "wanarara nazo mbere kwa mbere". Unamsifia kiongozi mpaka anabubujikwa na machozi.