ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #1,161
Huyu chawq kajipanga,ila anaweza kuthibitisha takwimu za ongezeko la mapato,ama hata kama imepikwa tunajuaje?π π€£ π wakati wa Magufuli mlisema hivyo hivyo
Huu uchawa umefikia pabaya
Takwimu zinazoonesha matokeaππHuyu chawq kajipanga,ila anaweza kuthibitisha takwimu za ongezeko la mapato,ama hata kama imepikwa tunajuaje?
Maneno yake yoote hayabadili kura yangu