Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu chawq kajipanga,ila anaweza kuthibitisha takwimu za ongezeko la mapato,ama hata kama imepikwa tunajuaje?
Maneno yake yoote hayabadili kura yangu
Takwimu zinazoonesha matokea👇👇

View: https://x.com/sisiniTanzania/status/1889935972348903719?t=vtXEYor778CNWfOAGw_hKw&s=19

Siko hapa kubeba mzigo wa ujinga wako uliouchagua.

Mirembe iliyoboreshwa na Samia ipo Kwa Ajili ya watu kama nyie 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DGBEH0Ho4CQ/?igsh=MnExOWowYjdkYWlo
 
Back
Top Bottom