ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #1,181
Mkuu variable endelea kupiga spana za uhakika. Waingereza wanasema 'no datas no right to speak'.
Haboi Wala hachoki 👇👇Mkuu variable endelea kupiga spana za uhakika. Waingereza wanasema 'no datas no right to speak'.
Jamaa wa Msaada wa Mfalme wa Morocco ilikuaje?Yale maendeleo ya ambayo tungejivunia Kwa Karne sasa yamegeuka kuwa miujiza ya miaka mitatu ya Samia