Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bila kutazama ubora wa maendeleo yenyewe tunaruhusiwa Kigali ni miujiza kwasababu Kwa akili timamu tulizojaliwa na Muumba haya sio maendeleo ni matatizo yanayoanzia kwenye uwelewa na weledi.
 
Attachments

  • Screenshot_20250216-022938.jpg
    Screenshot_20250216-022938.jpg
    94 KB · Views: 1
Yale maendeleo ya ambayo tungejivunia Kwa Karne sasa yamegeuka kuwa miujiza ya miaka mitatu ya Samia
 
Attachments

  • IMG_20250216_053809-COLLAGE.jpg
    IMG_20250216_053809-COLLAGE.jpg
    136.6 KB · Views: 1
Yale maendeleo ya ambayo tungejivunia Kwa Karne sasa yamegeuka kuwa miujiza ya miaka mitatu ya Samia
Jamaa wa Msaada wa Mfalme wa Morocco ilikuaje?

Ni Aibu kwa aliyejiita shujaa wenu tena Jiwe mwamba na aliyejifamba kujenga Kwa hela zenu akaishia kutazama render ya Msaada 🤣🤣

By the way
1.Ukibwa wa uwanja ni hasara kama hautumiki.

2.Gharama za kuendesha uwanja mkubwa ni kubwa

3.Uwanja wa Dom una nafasi ya kuongeza seaters wakihitajika hapo baadae.
 
Back
Top Bottom