ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #1,381
Lakini wananchi wako hoi, ajira hakuna, mishahara kiduchu, gharama kubwa za matibabu, elimu, bei za vyakula ziko juu...au haya siyo muhimu?
1.Ni mwaka gani mlikuwa hai?Lakini wananchi wako hoi, ajira hakuna, mishahara kiduchu, gharama kubwa za matibabu, elimu, bei za vyakula ziko juu...au haya siyo muhimu?
Mama mitano tena!
Nadhani ingekuwa vyema mafanikio yake yangepiga kelele zaidi kuliko hizi PA. Wahenga walisema kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.