Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huwa hawakawii kusema hakuna kinachoendelea πŸ˜‚πŸ˜‚.

Niko hapa kuwaonesha πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DHMST5oN0Le/?igsh=MW9paWVvbnRqcmdxMQ==
Samia anaisogeza mbali kimaendeleo Tanzania kuliko alivyoachiwa na hayati JPM, wakosoaji wake wanaishia kumpiga vijembe Mwijaku na Baba Levo namna wanavyoifanya shughuli ya kuupamba urais wake.

Wanashindwa kwa makusudi kuiona picha pana zaidi ya kile kinachofanyika kwa kasi katika awamu ya sita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…