Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukishakuwa chawa huwezi kutumia akili.

Hivi nchi zote duniani raisi anaabudiwa namna hii? Mbona tunakuwa watu wa namna hii, kusifu kila kitu, hatuwezi kuwa objective hata kidogo.
Kama mnaota kafanya kazi ya kutukuka, kwanini Anatumia fedha kuhonga wananchi ili akubalike ?
Kwanini mnavunja Katiba ya ccm ya kumpata mgombea urais ili kumlinda kutoka kwa wanachama wanaotaka kushindana nae kugombea Urais?
Waswahili husema kizuri chajiuza lakini kibaya chajitembeza!
 
Amemhonga nani wewe pimbi? Wewe amekuhonga bei gani? Achaga upumbavu wa kusikia na kueneza uzushi.
 
Wewe chawa huyaoni mamilioni mama yenu Anawahonga maaskofu, mashehe, wakina Mwijaku, Dotto Magari Hata wakina Mwamposa!! Anawaalika watu kwenye Sherehe zake halafu anawagawia fedha taslim! Nyie pimbi uchawa umewapumbaza mpaka mmekuwa vipofu hamuoni kinachoendelea mbele yenu.
 
Wewe umeyaona? Nitajie hao Maaskofu aliowahonga.

Umesema amewahonga Watanzania,wewe amekuhonga bei gani?

Hao uliowataja ni wapambe wake kama nyie mlivyo na wapambe wenu,Je Huwa mnawahonga?
 
Ni wewe Pimbi ndio hujui hayo niliyoandika lakini wananchi wote wanaojitambua wanajua kuwa huyo bibi ni mtupu Ndio maana anaogopa kishindanishwa na wanachama wengine wanaotaka kugombea urais.
 
Watupu ni wale waliokuwa wanapora pesa za watu kama yule mtu wenu.

Nyie mafukara mtaishia kuwa fukara hivyo hivyo Hadi mnazikwa 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFLb3I6CNqZ/?igsh=anc2bnVzc2w4N21q

Nyie Pimbi wa Samia mna sifia tu kuwa huyo bibi yenu amefanikisha miradi kama ule wa Mwalimu Nyerere bwawa la umeme na daraja la Busisi. Cha kushangaza mnaficha gharama za miradi hiyo tangu lSamia amrithi Magu!
Miradi yote aliyorithi gharama zake zimekuwa maradufu kwasababu ya usimamizi mbovu! Angekuwepo Magu miradi ingekwisha upesi ikiwa ya kiwango na gharama nafuu.
Hata huu mradi wa SGR mpaka unakamilika huyu bibi atakuwa amekopa nje na ndani kiasi cha kuiweka nchi rehani kwa waarabu 😂😂
Angalieni deni la taifa linavyopaa, nyie Pimbi mkipata posho yenu basi mnasinzia.
 
Wewe punguani Samia sio tuu amefanilisha hiyo miradi iliyomshinda yule mtu wenu Bali amefanilisha utitiri wa miradi Kila sekta.

Usimlinganishe SSH na wajinga 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFLO6vhtNs0/?igsh=ODEwbXloMW9tZzYw
 
View: https://www.instagram.com/p/DFNqQ8roLl-/?img_index=13&igsh=Y2dna2E0M29mbjVj
wizara_ya_ujenzi_1737736407268.jpg
wizara_ya_ujenzi_1737736407069.jpg
wizara_ya_ujenzi_1737736407459.jpg
wizara_ya_ujenzi_1737736406704.jpg
wizara_ya_ujenzi_1737736406893.jpg
wizara_ya_ujenzi_1737736406475.jpg
 
Back
Top Bottom